Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #21
Rasilimali za nchi ndio chanzo cha mafanikio kama taifa. Wamasai wamekaa kwenye eneo ambalo ni potential kwa uwekezaji kupata fedha nyingi za kigeni ili huko kwenu mjengewe hospitali , Barabara , maji , shule na huduma mbali mbali za kijamii. Wewe unadhani bila serikali kuwa na plan za kutumia maeneo tuliyobarikiwa nayo kuwa na rasilimali huko kwenu Dodoma vijijini mngepata hizi huduma?Uko Very very wrong.......wamasai hawaondolewi kwa ajili ya kuongeza kipato, we know ujinga nyuma ya huo ujinga