Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge

Uko Very very wrong.......wamasai hawaondolewi kwa ajili ya kuongeza kipato, we know ujinga nyuma ya huo ujinga
Rasilimali za nchi ndio chanzo cha mafanikio kama taifa. Wamasai wamekaa kwenye eneo ambalo ni potential kwa uwekezaji kupata fedha nyingi za kigeni ili huko kwenu mjengewe hospitali , Barabara , maji , shule na huduma mbali mbali za kijamii. Wewe unadhani bila serikali kuwa na plan za kutumia maeneo tuliyobarikiwa nayo kuwa na rasilimali huko kwenu Dodoma vijijini mngepata hizi huduma?
 
Wewe ndo kopo tupu kichwani
 
Huyu mtu nina mashaka na akili zake kama zina utimamu..
 
Kuchimba madini kwenye mbuga ni hatari kuliko Wamasai kubaki Ngorongoro
Bado upo nyuma sana ya wakati. Chadema mlipinga ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere kwa sababu ya kampeni zenu eti tunaharibu mazingira. Ajabu treni imeanza kufanya kazi nyie ndio wakwanza mnapiga selfie kwenye treni. Shenzi sana.
 
Duuuh๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Bado upo nyuma sana ya wakati. Chadema mlipinga ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere kwa sababu ya kampeni zenu eti tunaharibu mazingira. Ajabu treni imeanza kufanya kazi nyie ndio wakwanza mnapiga selfie kwenye treni. Shenzi sana.
huna huruma na mamia waliokufa kwa mafuriko rufiji?
 
We mkuu ni wawapi kunavitu vinatia hasira kama nikutie kofi hivi.?
 
Si bure utakua Abdul au dada yake unaefyonza madolari ya waarabu
 
Mtoa Maada ana habari kuwa wanatolewa wamasai na madini yanachimbwa mbugani?

Wewe na mwambukusi nani anazo sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watu wanasema kule Ngorongoro kuna waarabu wanafanya yao huko Sasa hao hawana athari kwa mazingira??
Hivi mlikua mnataka tufuge simba na tembo huko kwenye hifadhi mpaka wavamie kwenye makazi ya watu tusiwavune? Warabu ni wawekezaji wanajenga hoteli za kitalii wanavutia uwekezaji tunapata dollars kufanya maendeleo. Hivi mnajua kuwa baadhi ya bidhaa muhimu sana kama mafuta ,madawa , technology kwa uchache tunaagiza kutoka mataifa ya nje ambalo hawapokei shillings yetu as medium of exchange? Jamani rasilimali zetu zinatumika kwa faida yetu wote na kwa kuzingatia maslahi ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ