DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Haujajibu swali, jamaa kakuuliza vizuri ingawa kwa sarcasm. Wamasai wameondolewa ili kuhifadhi mazingira na bioanuwai, sasa vipi mpango wa kutaka kuchimba madini kwenye hifadhi ambao mkuu alisema wanyama hawali madini?Bado upo nyuma sana ya wakati. Chadema mlipinga ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere kwa sababu ya kampeni zenu eti tunaharibu mazingira. Ajabu treni imeanza kufanya kazi nyie ndio wakwanza mnapiga selfie kwenye treni. Shenzi sana.
TLS ni nzuri kwa ustawi wa mawakili na sheria nchini lakini imevamiwa na wanasiasa wakina Mwabukusi unategemea Nini?Nje ya mada..,
Iyo TLS ina faida/mchango gani kwa Taifa hadi kupelekea watu kufikishana mahakamani na kumake headline ukitoa maslahi ya Posho wanazolipana kwenye iko kikundi?
Can someone please respond
Huwezi kuona faida ya matunda ya uanzishwaji wa vijiji vya ujamaa .Mmezaliwa jana nyote nyinyi , nyerere aliwaondowa wananchi sehemu walipozaliwa na walikuwa na mashamba yao waliondolewa kwa nguvu na kupelekwa kwenye vijiji vya ujamaa wakaanzishe maisha ya vijiji vya ujamaa waliondolewa kwa nguvu wengine walipoteza maisha kwa mawazo na wengine waliumia lakini kwa hilo mpo kimya bado mnamuita mtakatifu
Bwawa la mwalimu Nyerere mlikua mnapinga hivi hivi kwa sababu za kimazingira lakini Leo mnapiga selfie kwenye treni za umeme...Na Mama Abduli kasema atachimba madini Serengeti hata kama Tanapa wanapinga.
..anatetea maamuzi yake kwa madai kwamba tambo na Simba hawali madini.
..Mama Abduli hajali mazingira, wala thamani ya Serengeti, kubakia ktk uasilia wake.
..Sasa nani mwenye akili kati ya Mama Abduli na Adv Mwabukusi?
Mr Genius, utaniomesha fani ya udiwani na ubunge inaposomewa!Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.
Na vipi ile kauli ya samia kuwa madini yachimbwe hata kwenye hifadhi kwasababu kinachotakiwa ni fedha tu nayo unaipimaje?Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.
Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.
Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?
Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?
Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.
PIA SOMA
- LIVE - Mdahalo wa Wagombea Uraisi TLS na Chief Odemba
Haya mambo hayana tija Tundu Antipas Lisu alikuwa Rais wa TLS sikumbuki alifanya nini,sasa huyu Mwabukusi apewe tu maana hakuna atakachofanya zaidi ya kutafuna subscriptions .Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.
Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.
Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?
Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?
Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.
PIA SOMA
- LIVE - Mdahalo wa Wagombea Uraisi TLS na Chief Odemba
Umesema kweliHaya mambo hayana tija Tundu Antipas Lisu alikuwa Rais wa TLS sikumbuki alifanya nini,sasa huyu Mwabukusi apewe tu maana hakuna atakachofanya zaidi ya kutafuna subscriptions .
Udiwani au ubunge hauhitaji uwe umesoma sana ni uweze kupiga blaa blaa tu kama Mwabukusi.Mr Genius, utaniomesha fani ya udiwani na ubunge inaposomewa!
Bwawa la mwalimu Nyerere mlikua mnapinga hivi hivi kwa sababu za kimazingira lakini Leo mnapiga selfie kwenye treni za umeme.
Hoja zako zipo chini. Wamasai ni sehemu ya ecologia. Na wamekaa kwa muda mrefu sana pembezoni mwa wanyama. Sio jambo geni.Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.
Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.
Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?
Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?
Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.
PIA SOMA
- LIVE - Mdahalo wa Wagombea Uraisi TLS na Chief Odemba
Ni wwNani huyo
AahaaaaKama wewe mwenyewe umekiri kisheria yuko sahihi kwanini unasema hana akili.?
Mbona wewe ndiye unaonekana huna akili?
Umeme chanzo chake siyo lazima kiwe maji tu peke yake, hata jua pia ni chanzo Cha uhakika kabisa Cha uzalishaji wa umeme...kwani umeme wa maji hauwezi kuzalishwa eneo lingine lolote hapa Tanzania isipokuwa Stieglers gorge?
Sasa haya ndo unavizia unapiga picha alafu unamtumia MwambukusiWatu wanasema kule Ngorongoro kuna waarabu wanafanya yao huko Sasa hao hawana athari kwa mazingira??
Mwabukusi ni mtu mwenye jazba na mihemko na ulimi usiokuwa na haya na aliyekosa subra.Hafai hata kuwa Mjumbe wa nyumba kumi zaidi ya kuwa kiongozi wa familia yake ambayo nadhani hata yenyewe itakuwa inaathirika vibaya na tabia zake.Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.