Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani .
Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu wapenda mabadiliko hatumuelewi upinzani wake ni wa namna gani .
Natambua Tundu lissu akiingia madarakani hali ya kiuchumi ya Chama itayumba sababu hatapata support kutoka upande wa pili na wadhamini wengine .
lakini kuna faida gani kujiita wapinzani huku tunasadia mtawala kuendelea kutawala mbali na mapungufu aliyonayo ? Ndio maana naona ni bora chama kife huku tukiwa na tumaini jema