Nadhani hiki ndicho kinampeleka Tunda polisi central

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Katika sakata hili la madawa ya kulevya jana ijumaa iliongezeka list ya watu wengine akiwemo video queen maarufu anayefahamika kama "TUNDA"
Kinachodaiwa kumpeleka video queen huyu central siku ya jumatatu ni kuhusu kuhusika katika matumizi ya madawa ya kulevya .....Katika page yake ya instagram january 14 mwaka huu alipost picha ya kinachohisiwa kuwa bangi nne zilizonyongwa, Ikumbukwe ya Kwamba bangi ni moja ya madawa ya kulevya

 
Kunasehemu imeandikwa hapo kuwa hiyo ni misokoto ya bangi.? Au wewe ndio Mtuniaji na unauzoefu nayo? Kama ndio style anayotumia bwana mdogo mwambieni ajiandae kuangukia pua huko mahakamani hasa litakapokuja Suala la ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…