Nadhani hiki ndicho kinampeleka Tunda polisi central

Nadhani hiki ndicho kinampeleka Tunda polisi central

Wewee!

Unaambiwa hakuna kilevi chenye stimu nzuri duniani kama unga.

Yaani raha wanaopata wale jamaa wakitumia ni ya ajabu. Wanasema ni zaidi yakupiga bao wakati wa kutafuta papuchi

Ubaya wake ni ile addiction...na wauzaji wana mbinu pia ya kumfanya mtu awe addictive.

Pia ni kilevi kinachoingia haraka sana mwilini kuliko vilevi vingine vyote kwasababu hii wanaingiza kwenye damu straightly kwa njia ya sindano.

Kwahiyo ni tofauti kbs na pombe.
Aise.Basi hiyo ni hatari sana.Mimi nikipata Whisky yangu najisikia poa sana mbona?.Nikijisikia hamu ya hicho unachokisema si naenda kwa mke wangu tunaongea? au unga ni zaidi ya NENO?.Wengi wa hao watumiaji watakuwa "singo".Mungu ibariki Tanzania
 
Aise.Basi hiyo ni hatari sana.Mimi nikipata Whisky yangu najisikia poa sana mbona?.Nikijisikia hamu ya hicho una hokisema si naenda kwa mke wangu tunaongea? au unga ni zaidi ya NENO?.Wengi wa hao watumiaji watakuwa "singo".Mungu ibariki Tanzania
Ni balaa mkuu
 
Leo umeongea pumba za hali ya juu zaidi katika maisha yako yote,trust me
Trust me hilo jamaa sijui limezaliwa wapi,tani limeniboa natamani nilichome na kisu,hawa ndo watumiaji wa bhangi vichwa vyao sijui vinakuaje
 
Hawa watoto tunaozaa ni balaa;
huyo angebaki tumboni lazima ufe na kansa;
 
Huyo mnyongaji mbona hakuweka 'filter'? Za hivi ndo zinaunguza lips.
 
Hivi picha ya mwanamke huwezi kuitambua mpaka uuone utupu wake? Nyama ya ng'ombe huwezi kuijua mpaka uionje?
Nenda mahakamani na haya maneno yako ndio utajua watuhumiwa huwa wanatumiaje sheria na wanasheria kushinda kesi Kama hizi.
 
Wewe unafikiria ruzuku ya cdm inapotelea wapi?
Haahaahaa, acha kujitoa ufahamu, humsikii waziri akilia watu wao wanaharibiwa brand? Yupi wa chadema keshaongea kuhusu hawa wanakampeni wa ccm kuharibiwa brand? Heehee Wema alishupalia sana "mama mkanye mwanao" bila kujua yeye hakukanywa acha movie iendelee. Kitumbua chake wamekipeleka peleka sasa wanamuona hafai, Nape komaa mwaya madame brand isiharibiwe nani atapeperusha bendera ya chama cha kkijani?
 
Leo umeongea pumba za hali ya juu zaidi katika maisha yako yote,trust me
Pumba nilizoongea umeona matokeo yake leo.? Matangazo yote na vyombo vya habari kumbe hana hata punje ya ushahidi. Sasa wanaachiwa moja baada ya mwingine.
Mlifikiri mahakamani wanapeleka "makalio" na "visembe"?
 
Back
Top Bottom