Nadhani hiki ndicho kinampeleka Tunda polisi central

Nadhani hiki ndicho kinampeleka Tunda polisi central

Polisi: Unatoa wapi pesa za kushinda hotelini kila siku?
Tunda: Nahongwa na bwana zangu.
Polisi: Tutajie majina?
Tunda: vigogo ndani ya ccm
Polisi: OK case CLOSED. Go home.!
Hahahaahaaa
 
Huachiwa huru Kwa sab mbali mbali
Sasa mimi, nimeongelea kwa watakaofikishwa mahakamani kwa ushahidi mwepesi kama huo hizo kesi waandike loss, otherwise waachiwe huko huko kama unavyosema kutokana na uzoefu wako.
 
Sasa mimi, nimeongelea kwa watakaofikishwa mahakamani kwa ushahidi mwepesi kama huo hizo kesi waandike loss, otherwise waachiwe huko huko kama unavyosema kutokana na uzoefu wako.
Tuhuma ni stage ya mwanzo Karisa huwa haina ushahidi WA kutosha lkn uchunguzi ukifanyika ndo ushahidi unapatikana au unakosekana na unaachiwa guru.
 
Tuhuma ni stage ya mwanzo Karisa huwa haina ushahidi WA kutosha lkn uchunguzi ukifanyika ndo ushahidi unapatikana au unakosekana na unaachiwa guru.
OK, aisee kumbe..! Sasa hao maaskari 12 waliosimamishwa kazi kwa tuhuma, ni sawa au sio sawa.?
Na pili mpaka unaletewa tuhuma, si unatakiwa uulize na ushahidi kwa anayekuleta tuhuma au hapa inakuwaje?
 
Utawala wa sheria katika ubora wake. Hongera zake.

Polisi: Unatoa wapi pesa za kushinda hotelini kila siku?
Tunda: Nahongwa na bwana zangu.
Polisi: Tutajie majina?
Tunda: vigogo ndani ya ccm
Polisi: OK case CLOSED. Go home.!
 
OK, aisee kumbe..! Sasa hao maaskari 12 waliosimamishwa kazi kwa tuhuma, ni sawa au sio sawa.?
Na pili mpaka unaletewa tuhuma, si unatakiwa uulize na ushahidi kwa anayekuleta tuhuma au hapa inakuwaje?
Sheria inaruhusu kumsimamisha mfanyakazi Kwa uchunguzi Huku akipata mshahara wake km Kawaida. Kama uchunguzi ukithibitisha ushahidi anafikishwa mahakamani akihukumiwa anapoteza kazi lkn akishinda kesi anarudishwa kazini lkn mamlaka ikiona si vyema kumrudisha kazini inamuachisha kwa kuvunja mkataba na kumlipa Mafao yake yote. Kwa upande WA anayetuhumiwa ana haki ya kuuliza kosa analotuhumiwa nalo tu sio ushahidi dhidi yake ushahidi ataupata mahakamani.
 
Utawala wa sheria katika ubora wake. Hongera zake.
Unasimama kwenye mambari na kupaza sauti nina JESHI la polisi, lenye weredi wa kutosha, na mbinu za kisasa, alafu askari kituoni, ana interrogate mtuhumiwa kiasi hicho kwanini wasiachiwe wote.?
 
Sheria inaruhusu kumsimamisha mfanyakazi Kwa uchunguzi Huku akipata mshahara wake km Kawaida. Kama uchunguzi ukithibitisha ushahidi anafikishwa mahakamani akihukumiwa anapoteza kazi lkn akishinda kesi anarudishwa kazini lkn mamlaka ikiona si vyema kumrudisha kazini inamuachisha kwa kuvunja mkataba na kumlipa Mafao yake yote. Kwa upande WA anayetuhumiwa ana haki ya kuuliza kosa analotuhumiwa nalo tu sio ushahidi dhidi yake ushahidi ataupata mahakamani.
Unapoongelea "mfanyakazi" unamaanisha ni nani.? Je polisi wako katika kundi la hao wafanyakazi?
 
Umejuaje Kama hizo ni Bangi kwa muonekano katika picha!? Inawezekana ni tissue alizisokota kutolea uchafu masikioni.
Hivi picha ya mwanamke huwezi kuitambua mpaka uuone utupu wake? Nyama ya ng'ombe huwezi kuijua mpaka uionje?
 
Unapoongelea "mfanyakazi" unamaanisha ni nani.? Je polisi wako katika kundi la hao wafanyakazi?
Polisi ni mfanyakazi wa serikali. Anaajiriwa na wizara ya mambo ya ndani baada ya kufanya kazi Kwa mkataba Kwa miaka 10
 
Polisi ni mfanyakazi wa serikali. Anaajiriwa na wizara ya mambo ya ndani baada ya kufanya kazi Kwa mkataba Kwa miaka 10
Ooh, sawa nimekuelewa. Turudi kwenye mada husika sasa, hiyo ni iliyoonekana hapo kwenye picha ni bangi?
 
Nashukuru kama huwa unafatilia ninavyokuwa "naongea" japo hapa nimeandika. Ila na mimi nikuhakikishie kama umejaza "nguruwe" kwenye ubongo wako lazima uone nilichoandika ni "pumba".

Hivi kwa mfano leo wewe ni polisi umemshika "young dee" barabarani akiwa katika matembezi yake, au majirani zake wakakumabia dogo huwa anavuta bangi sana, baadae umapeleka Mahakamani kwa kosa la kuvuta bangi. Mahakamani wakataka ushahidi, ulivyo "sakala" ukapeleka hiyo picha kama ushahidi wako, unategemea hukumu yake inakuwaje?
abc04ce3fccce9fffb153e579327809a.jpg
Kwa nini young dee? Nini kimekutuma umtaje young dee? Huoni unatenda kosa?
 
Tuhuma ni stage ya mwanzo Karisa huwa haina ushahidi WA kutosha lkn uchunguzi ukifanyika ndo ushahidi unapatikana au unakosekana na unaachiwa guru.
Well said. 1:Suspect 2:Exhibits 3 interrogation. 4:Court 5:Hearing 6:Judgment (guilty or not guilty)
 
Ooh, sawa nimekuelewa. Turudi kwenye mada husika sasa, hiyo ni iliyoonekana hapo kwenye picha ni bangi?
Picha inayodhaniwa kuwa ni misokoto ya bange.
Ataulizwa mwenye akaunti yake Hiyo picha na hivyo vipande vinne ni nini?
2: Nani kaposti hiyo picha kwenye akaunti yako?
3: Je umewahi kuvuta sigara? Maswali yataendelea na kupata ushahidi mbali mbali. Hatimaye ukweli utadhihiri. That's INTERROGATION
 
Kwa nini young dee? Nini kimekutuma umtaje young dee? Huoni unatenda kosa?
Kwanini "young dee", kwa sababu ndio msanii ninaye penda kumtolea mfano.? Kwani we "young dee" unayemjua ni yupi? Au kosa ni lipi hapo labda unisaidie?
 
Binadam wakikuandama hawakuachii pumzi
16230437_619207661614109_2898227790853701632_n.jpg
 
Kama kazi ya unga ni kulevya kwa nini watu wasitumie vileo (alcohol).Kwanini unga?Unga basi utakuwa na kitu cha ziada
Wewee!

Unaambiwa hakuna kilevi chenye stimu nzuri duniani kama unga.

Yaani raha wanaopata wale jamaa wakitumia ni ya ajabu. Wanasema ni zaidi yakupiga bao wakati wa kutafuna papuchi

Ubaya wake ni ile addiction...na wauzaji wana mbinu pia ya kumfanya mtu awe addictive.

Pia ni kilevi kinachoingia haraka sana mwilini kuliko vilevi vingine vyote kwasababu hii wanaingiza kwenye damu straightly kwa njia ya sindano.

Kwahiyo ni tofauti kbs na pombe.
 
Back
Top Bottom