Nadhani hiki ndicho kinampeleka Tunda polisi central

unauhakika gani kama hizo ni bangi??

Tukikifungulia kesi ya uchochezi tutakuwa tumekuonea?
 
Nini kinadhihirisha kuwa hiyo ni bangi na sio majani ya chai yaliyosokotewa humo?

Ni nini kitatufanya tuamini kuwa hivyo vitu hapo ni vya Tunda.
Majani ya Chai y
Nini kinadhihirisha kuwa hiyo ni bangi na sio majani ya chai yaliyosokotewa humo?

Ni nini kitatufanya tuamini kuwa hivyo vitu hapo ni vya Tunda.
Majani ya chai gani yapo hivyo, hayana hata lebo kuonyesha yanatoka kiwanda gani, na pia ni vyake kwa kuwa amepost kwenye akaunti yake. Mtu huwezi kupost kitu kama hicho halafu ukakana siyo mtumiaji.
 
Polisi: Unatoa wapi pesa za kushinda hotelini kila siku?
Tunda: Nahongwa na bwana zangu.
Polisi: Tutajie majina?
Tunda: vigogo ndani ya ccm
Polisi: OK case CLOSED. Go home.!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dead
 
Polisi: Unatoa wapi pesa za kushinda hotelini kila siku?
Tunda: Nahongwa na bwana zangu.
Polisi: Tutajie majina?
Tunda: vigogo ndani ya ccm
Polisi: OK case CLOSED. Go home.!
Haahaaahaaaa... Kabisa mkuu
 
Watoto wazuri wamjini kula bangi wanaona ni ujanja kibaya zaidi bangi wanazokula zinakuwa zimeshanyongwa kabisa na mapusha au hao wanaowaletea zikiwa zimemiksiwa na plama ama chembechembe za ngada. wakishavuta ile stimu lazima waitamani tena na iwape ka alosto flan ..hapo kwisha kazi gari linawaka na kuanza kukata Kilomita...!
 
Last time kudownload movie hata sikumbuki.
Nafuatilia tu series za babu wa loliondo, faru john, viroba vya ruvu, mikopo elimu ya juu, shisha n.k
 
Daaah! Mbona sasa kama kila msanii anakula hii midubwasha...


Vijana wangu wa Arusha hata hawatumii kumbe...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hataaar
 
Mkuu na wewe uliyepost hiyo picha unajua wanaweza kukuita huko central. Tutajuaje kama si wewe yliyeipiga picha mana iko kwa account yako
 
Kunasehemu imeandikwa hapo kuwa hiyo ni misokoto ya bangi.? Au wewe ndio Mtuniaji na unauzoefu nayo? Kama ndio style anayotumia bwana mdogo mwambieni ajiandae kuangukia pua huko mahakamani hasa litakapokuja Suala la ushahidi.
JIONGEZENI. CHAMBUENI MAMBO KAMA WATU WENYE UPEO. HIZO NI BANGI. KWA HIYO HOJA ZENU ZIWE KWENYE TATIZO LA MADAWA AU VITA HII YA MADAWA. AU MATUMIZI YA MADAWA KWA WASANII NA SI VINGINEVYO. MNAPINGA KWAMBA HIO SIO Banging ILI MUONEKANE MKO MAKINI ILA UKWELI MNAUJUA.. HATA HIVYO SIDHANI KAMA BANGI NI TATIZO HASA WAKI ROLL IKIWA DRY AU NA KALI NYOTA PENGINE WASANII HAWA WANA NYONGEWA NA NGADA NDANI YAKE. MIMI MWENYEWE NI SHUHUDA NISHAONA MTU ANANYONGA BANGI NA VALIUM VILE VIDONGE.. ANAVISAGA NA KUCHANGANYA NA MJANI.. AKIVUTA KAMA TEJA
Nini kinadhihirisha kuwa hiyo ni bangi na sio majani ya chai yaliyosokotewa humo?

Ni nini kitatufanya tuamini kuwa hivyo vitu hapo ni vya Tunda.

Sasa mbona wewe umeshaita bangi na kusema ni yake?

unauhakika gani kama hizo ni bangi??

Tukikifungulia kesi ya uchochezi tutakuwa tumekuonea?
 
duh ushahidi uko wapi hapo kama ni bangi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…