HahahaahaaaPolisi: Unatoa wapi pesa za kushinda hotelini kila siku?
Tunda: Nahongwa na bwana zangu.
Polisi: Tutajie majina?
Tunda: vigogo ndani ya ccm
Polisi: OK case CLOSED. Go home.!
Sasa mimi, nimeongelea kwa watakaofikishwa mahakamani kwa ushahidi mwepesi kama huo hizo kesi waandike loss, otherwise waachiwe huko huko kama unavyosema kutokana na uzoefu wako.Huachiwa huru Kwa sab mbali mbali
Tuhuma ni stage ya mwanzo Karisa huwa haina ushahidi WA kutosha lkn uchunguzi ukifanyika ndo ushahidi unapatikana au unakosekana na unaachiwa guru.Sasa mimi, nimeongelea kwa watakaofikishwa mahakamani kwa ushahidi mwepesi kama huo hizo kesi waandike loss, otherwise waachiwe huko huko kama unavyosema kutokana na uzoefu wako.
OK, aisee kumbe..! Sasa hao maaskari 12 waliosimamishwa kazi kwa tuhuma, ni sawa au sio sawa.?Tuhuma ni stage ya mwanzo Karisa huwa haina ushahidi WA kutosha lkn uchunguzi ukifanyika ndo ushahidi unapatikana au unakosekana na unaachiwa guru.
Polisi: Unatoa wapi pesa za kushinda hotelini kila siku?
Tunda: Nahongwa na bwana zangu.
Polisi: Tutajie majina?
Tunda: vigogo ndani ya ccm
Polisi: OK case CLOSED. Go home.!
Sheria inaruhusu kumsimamisha mfanyakazi Kwa uchunguzi Huku akipata mshahara wake km Kawaida. Kama uchunguzi ukithibitisha ushahidi anafikishwa mahakamani akihukumiwa anapoteza kazi lkn akishinda kesi anarudishwa kazini lkn mamlaka ikiona si vyema kumrudisha kazini inamuachisha kwa kuvunja mkataba na kumlipa Mafao yake yote. Kwa upande WA anayetuhumiwa ana haki ya kuuliza kosa analotuhumiwa nalo tu sio ushahidi dhidi yake ushahidi ataupata mahakamani.OK, aisee kumbe..! Sasa hao maaskari 12 waliosimamishwa kazi kwa tuhuma, ni sawa au sio sawa.?
Na pili mpaka unaletewa tuhuma, si unatakiwa uulize na ushahidi kwa anayekuleta tuhuma au hapa inakuwaje?
Unasimama kwenye mambari na kupaza sauti nina JESHI la polisi, lenye weredi wa kutosha, na mbinu za kisasa, alafu askari kituoni, ana interrogate mtuhumiwa kiasi hicho kwanini wasiachiwe wote.?Utawala wa sheria katika ubora wake. Hongera zake.
Unapoongelea "mfanyakazi" unamaanisha ni nani.? Je polisi wako katika kundi la hao wafanyakazi?Sheria inaruhusu kumsimamisha mfanyakazi Kwa uchunguzi Huku akipata mshahara wake km Kawaida. Kama uchunguzi ukithibitisha ushahidi anafikishwa mahakamani akihukumiwa anapoteza kazi lkn akishinda kesi anarudishwa kazini lkn mamlaka ikiona si vyema kumrudisha kazini inamuachisha kwa kuvunja mkataba na kumlipa Mafao yake yote. Kwa upande WA anayetuhumiwa ana haki ya kuuliza kosa analotuhumiwa nalo tu sio ushahidi dhidi yake ushahidi ataupata mahakamani.
Hivi picha ya mwanamke huwezi kuitambua mpaka uuone utupu wake? Nyama ya ng'ombe huwezi kuijua mpaka uionje?Umejuaje Kama hizo ni Bangi kwa muonekano katika picha!? Inawezekana ni tissue alizisokota kutolea uchafu masikioni.
Polisi ni mfanyakazi wa serikali. Anaajiriwa na wizara ya mambo ya ndani baada ya kufanya kazi Kwa mkataba Kwa miaka 10Unapoongelea "mfanyakazi" unamaanisha ni nani.? Je polisi wako katika kundi la hao wafanyakazi?
Ooh, sawa nimekuelewa. Turudi kwenye mada husika sasa, hiyo ni iliyoonekana hapo kwenye picha ni bangi?Polisi ni mfanyakazi wa serikali. Anaajiriwa na wizara ya mambo ya ndani baada ya kufanya kazi Kwa mkataba Kwa miaka 10
Kwa nini young dee? Nini kimekutuma umtaje young dee? Huoni unatenda kosa?Nashukuru kama huwa unafatilia ninavyokuwa "naongea" japo hapa nimeandika. Ila na mimi nikuhakikishie kama umejaza "nguruwe" kwenye ubongo wako lazima uone nilichoandika ni "pumba".
Hivi kwa mfano leo wewe ni polisi umemshika "young dee" barabarani akiwa katika matembezi yake, au majirani zake wakakumabia dogo huwa anavuta bangi sana, baadae umapeleka Mahakamani kwa kosa la kuvuta bangi. Mahakamani wakataka ushahidi, ulivyo "sakala" ukapeleka hiyo picha kama ushahidi wako, unategemea hukumu yake inakuwaje?
Sijui. Anayeweza kuthibitisha hilo ni mkemia mkuu tu baada ya kuipimaOoh, sawa nimekuelewa. Turudi kwenye mada husika sasa, hiyo ni iliyoonekana hapo kwenye picha ni bangi?
Well said. 1:Suspect 2:Exhibits 3 interrogation. 4:Court 5:Hearing 6:Judgment (guilty or not guilty)Tuhuma ni stage ya mwanzo Karisa huwa haina ushahidi WA kutosha lkn uchunguzi ukifanyika ndo ushahidi unapatikana au unakosekana na unaachiwa guru.
Picha inayodhaniwa kuwa ni misokoto ya bange.Ooh, sawa nimekuelewa. Turudi kwenye mada husika sasa, hiyo ni iliyoonekana hapo kwenye picha ni bangi?
Kwanini "young dee", kwa sababu ndio msanii ninaye penda kumtolea mfano.? Kwani we "young dee" unayemjua ni yupi? Au kosa ni lipi hapo labda unisaidie?Kwa nini young dee? Nini kimekutuma umtaje young dee? Huoni unatenda kosa?
We acha Tu mjini Si pazuriivi uyu si mtoto kabisa, aiseee
Wewee!Kama kazi ya unga ni kulevya kwa nini watu wasitumie vileo (alcohol).Kwanini unga?Unga basi utakuwa na kitu cha ziada