Ukiambiwa uthibitishe unaweza?Sasa zile ni nini? Zile ni bangi acha ushabiki.
Aise.Basi hiyo ni hatari sana.Mimi nikipata Whisky yangu najisikia poa sana mbona?.Nikijisikia hamu ya hicho unachokisema si naenda kwa mke wangu tunaongea? au unga ni zaidi ya NENO?.Wengi wa hao watumiaji watakuwa "singo".Mungu ibariki TanzaniaWewee!
Unaambiwa hakuna kilevi chenye stimu nzuri duniani kama unga.
Yaani raha wanaopata wale jamaa wakitumia ni ya ajabu. Wanasema ni zaidi yakupiga bao wakati wa kutafuta papuchi
Ubaya wake ni ile addiction...na wauzaji wana mbinu pia ya kumfanya mtu awe addictive.
Pia ni kilevi kinachoingia haraka sana mwilini kuliko vilevi vingine vyote kwasababu hii wanaingiza kwenye damu straightly kwa njia ya sindano.
Kwahiyo ni tofauti kbs na pombe.
Ni balaa mkuuAise.Basi hiyo ni hatari sana.Mimi nikipata Whisky yangu najisikia poa sana mbona?.Nikijisikia hamu ya hicho una hokisema si naenda kwa mke wangu tunaongea? au unga ni zaidi ya NENO?.Wengi wa hao watumiaji watakuwa "singo".Mungu ibariki Tanzania
Haya mahojiano yatakuwa [HASHTAG]#Mujarabu[/HASHTAG]Unawaza tu kwa sauti au haya mahojiano ni live bila chenga?
Trust me hilo jamaa sijui limezaliwa wapi,tani limeniboa natamani nilichome na kisu,hawa ndo watumiaji wa bhangi vichwa vyao sijui vinakuajeLeo umeongea pumba za hali ya juu zaidi katika maisha yako yote,trust me
Nenda mahakamani na haya maneno yako ndio utajua watuhumiwa huwa wanatumiaje sheria na wanasheria kushinda kesi Kama hizi.Hivi picha ya mwanamke huwezi kuitambua mpaka uuone utupu wake? Nyama ya ng'ombe huwezi kuijua mpaka uionje?
Haahaahaa, acha kujitoa ufahamu, humsikii waziri akilia watu wao wanaharibiwa brand? Yupi wa chadema keshaongea kuhusu hawa wanakampeni wa ccm kuharibiwa brand? Heehee Wema alishupalia sana "mama mkanye mwanao" bila kujua yeye hakukanywa acha movie iendelee. Kitumbua chake wamekipeleka peleka sasa wanamuona hafai, Nape komaa mwaya madame brand isiharibiwe nani atapeperusha bendera ya chama cha kkijani?Wewe unafikiria ruzuku ya cdm inapotelea wapi?
Na wewe thibitisha kwamba sio bangi.Thibitisha
Pumba nilizoongea umeona matokeo yake leo.? Matangazo yote na vyombo vya habari kumbe hana hata punje ya ushahidi. Sasa wanaachiwa moja baada ya mwingine.Leo umeongea pumba za hali ya juu zaidi katika maisha yako yote,trust me
Au kipindupindu maeHawa watoto tunaozaa ni balaa;
huyo angebaki tumboni lazima ufe na kansa;
Polisi: Unatoa wapi pesa za kushinda hotelini kila siku?
Tunda: Nahongwa na bwana zangu.
Polisi: Tutajie majina?
Tunda: vigogo ndani ya ccm
Polisi: OK case CLOSED. Go home.!