Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Habari JF , binafsi ni mnufaika wa mfuko wa Taifa wa bima NHIF niseme sijawahi jilaumu kwa kujiunga humu kulingana na michango na huduma nazo zipata .
Tumesikia mengi sana kuhusu NHIF na inawezekana kabisa kukawa na ubadhilifu kutoka kwa watumishi wa NHIF .
Tumesikia bila ushahidi kuwa Serikali huchukua pesa katika mfuko .
Mzigo wa matibabu wa Mgonjwa Sugu kama Sukari, shinikizo la damu ,Moyo , maumivu ya viungo hasa mgongo na n.k yamekuwa mwiba kwa NHIF
Lakini pia inawezekana kukawa kunakukopeshana baina ya watumishi kukiwa na Nia nzuri tu kuwajali watumishi,kuwajengea maisha mazuri ili wasiweze kushawishika kirahisi.
Yote haya yanaweza kuwa yanachangia au hayachangii katika Changamoto zinazojitokeza .
Nadhani tukiweza kujijibu maswali haya machache tunaweza pata picha kamili kwanini mfuko una changamoto na nini kifanyike .
Matibabu ni gharama sana ,ingawa mfuko unaendeshwa kwa kushare gharama kuna uwezekano tunachangia kidogo ,au tunahitaji huduma yenye ubora ambao kwa michango yetu haiwezi kidhi .
NB :-Mivutano tunayoiona NHIF na watoa huduma ni mivutano ambayo huwa haikwepeki kwa bima yoyote duniani hasa ikishakuwa na wateja wengi .

>>Je ninachangia shilingi ngapi kila mwezi kulinganisha na wachangiaji wa mifuko mingine ambao huduma zao zinaonekana bora ?
>>Je nina utumia mfuko kwa matibabu inapo hitajika kweli ?
>>Je kuna namna yoyote nasharikiana na watoa huduma au mtoa huduma kuhujumu mfuko ?