Nadhani kazi ya uchawa imefutwa rasmi Oktoba 29, 2025

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Kwanza kabisa nawapa pole wale wote walioathirika kwa namna Moja ama nyingine katika harakati ya kulikomboa Taifa letu, waliotutangulia wale pema, amen!

Wakuu kazi ya kuipamba serikali (uchawa) imefutika rasmi mnamo 29, octoba baada ya shughuli kubwa ya watanzania kuonesha nia ya kulikomboa Taifa lao.

Natumai wale walambao miguu ya Viongozi hawatarudia tena ile tabia, maana wameona kilichotokea.

Nimeona watanzania Wana Kila dalili ya kupita na chawa yeyote atakayeipamba CCM.

Nimemaliza.

Cc Dr am 4 real PhD
Mbaga Jr
 
Tupe siri ya ww kutoathirika na maandamano hayo ilihali ulikuwa mstari wa mbele kuhamasisha humu watu waandamane, au ulijifungia ndani kama Busu la Kenge
Mimi sikuhamasisha Maandamano. Maandamano ni kitu ambacho hakikuhitaji hamasa.

Machawa lazima wale kwa jasho lao wala si Kodi za watanzania au wajiyze wabomolewe nyuma.

Lucas Mwashambwa
 
Mcheki Lucas hapo chini. Na amepaka wanja. Hovyo kabisa huyu jamaa.

FB_IMG_1759900254912.jpg
 
Aiseeeee! Japo nimechelewa kufika hapa, lakini siyo mbaya siyo makosa yangu ni ya huyu ndege mwehu hakunitag kwa uzi, nafikiri tukimfyeka mmoja mbele ya kamera tutakuwa tumemaliza kibarua maimae.
 
Kwanza kabisa nawapa pole wale wote walioathirika kwa namna Moja ama nyingine katika harakati ya kulikomboa Taifa letu, waliotutangulia wale pema, amen!

Wakuu kazi ya kuipamba serikali (uchawa) imefutika rasmi mnamo 29, octoba baada ya shughuli kubwa ya watanzania kuonesha nia ya kulikomboa Taifa lao.

Natumai wale walambao miguu ya Viongozi hawatarudia tena ile tabia, maana wameona kilichotokea.

Nimeona watanzania Wana Kila dalili ya kupita na chawa yeyote atakayeipamba CCM.

Nimemaliza.

Cc Dr am 4 real PhD
Mbaga Jr
Sijaona hata mmoja akipongeza ushindi mkuuuubwaa wa 98%
 
Back
Top Bottom