Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Wanaona aibuSijaona hata mmoja akipongeza ushindi mkuuuubwaa wa 98%
Wanaona aibuSijaona hata mmoja akipongeza ushindi mkuuuubwaa wa 98%
bado kumtembelea mwijakuKwanza kabisa nawapa pole wale wote walioathirika kwa namna Moja ama nyingine katika harakati ya kulikomboa Taifa letu, waliotutangulia wale pema, amen!
Wakuu kazi ya kuipamba serikali (uchawa) imefutika rasmi mnamo 29, octoba baada ya shughuli kubwa ya watanzania kuonesha nia ya kulikomboa Taifa lao.
Natumai wale walambao miguu ya Viongozi hawatarudia tena ile tabia, maana wameona kilichotokea.
Nimeona watanzania Wana Kila dalili ya kupita na chawa yeyote atakayeipamba CCM.
Nimemaliza.
Cc Dr am 4 real PhD
Mbaga Jr
Nimemwona mwashambwa akileta nyuzi zisizo na kichwa Wala miguu.Sijaona hata mmoja akipongeza ushindi mkuuuubwaa wa 98%
Mkuu kuliko kuangalia vyombo vya habari vya Tanzania, bora uangalie pornographyWe acha tu hapa nilipo natafuta mteja wa kumuuzia hii Tv yangu, maana nikimuona mama yao kwa kioo natamani niifumue manati, na kutupa manati siwezi maana ni ya ulithi ni bora nikauza hili beseni nisiendelee kutazama katuni za hovyo.
aisee!Hapa kijiweni kuna masela hawaonekani na hawapatikani kwa simu na magetoni hawapo tumewatafuta sana hatujawapata
We ngoja tu mkuu...bado kumtembelea mwijaku
anajifanya yupo nje ya nchi kuweka video za china sjui saudia
Hebu mkamtembelee maana naona bado ana dharau sana
Ipo siku ya kujenga ukuta maana wamekataa kuziba ufa !aisee!
Lazima tuwalipizie kisasi mkuu.
Atwambie kwanini hajafa..Mkuu , kuna ambae hakuathirika na maandamano hapa tanzania ?
Na ni naturally hii...Kuna jamaa mmoja sijui ni nani nimemsahau alisema "When injustice become laws resistance become duty"
Hii nyang'au Gen Z wanasema ilizima simu siku ya maandamano baada ya kutamba kuwa hakuna atakayejaribu kuzunguka hata uga wa nyumbani kwao sasa wamemuahidi kumsabahi wave two ya maandamano.
Ebo! Unataka kunifundisha tabia ya kuteleza na kipande cha soap nini wewe mzee!Mkuu kuliko kuangalia vyombo vya habari vya Tanzania, bora uangalie pornography
Ukipongeza moja kwa moja UNAONGEZWA KWENYE MAADUI WA TAIFA AMBAO NI UJINGA, UMASKINI NA MARADHI...Sijaona hata mmoja akipongeza ushindi mkuuuubwaa wa 98%
HakikaIpo siku ya kujenga ukuta maana wamekataa kuziba ufa !
Hofu yangu kubwa ni kuwa Chawa wamesombwa kwenda Mjengoni,na hapo,huo ni zaidi ya uchawa ninavyouona,sii tena wanguoni ila utakuwa/umekuwa uchawa wa damuni.Kwanza kabisa nawapa pole wale wote walioathirika kwa namna Moja ama nyingine katika harakati ya kulikomboa Taifa letu, waliotutangulia wale pema, amen!
Wakuu kazi ya kuipamba serikali (uchawa) imefutika rasmi mnamo 29, octoba baada ya shughuli kubwa ya watanzania kuonesha nia ya kulikomboa Taifa lao.
Natumai wale walambao miguu ya Viongozi hawatarudia tena ile tabia, maana wameona kilichotokea.
Nimeona watanzania Wana Kila dalili ya kupita na chawa yeyote atakayeipamba CCM.
Nimemaliza.
Cc Dr am 4 real PhD
Mbaga Jr