secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hatua ya pili ni kuchomewa vuzi zake.Bado haijaisha, c unaona kuna mpuuzi mmoja alichomewa kibanda chake cha mama ntilie lakini bado akaenda kujiuza kujiuza mbele ya ccm
Mimi sikuhamasisha Maandamano. Maandamano ni kitu ambacho hakikuhitaji hamasa.Tupe siri ya ww kutoathirika na maandamano hayo ilihali ulikuwa mstari wa mbele kuhamasisha humu watu waandamane, au ulijifungia ndani kama Busu la Kenge
Mcheki Lucas hapo chini. Na amepaka wanja. Hovyo kabisa huyu jamaa.Mimi sikuhamasisha Maandamano. Maandamano ni kitu ambacho hakikuhitaji hamasa.
Machawa lazima wale kwa jasho lao wala si Kodi za watanzania au wajiyze wabomolewe nyuma.
Lucas Mwashambwa
Tupe siri ya ww kutoathirika na maandamano hayo ilihali ulikuwa mstari wa mbele kuhamasisha humu watu waandamane, au ulijifungia ndani kama Busu la Kenge
Kuna jamaa mmoja sijui ni nani nimemsahau alisema "When injustice become laws resistance become duty"Siyo uchawa tu, hadi viongozi walioshinda sijui wataongozaje.
Leo Manara kapokelewa kwa namna hii!
View attachment 3498260
Aache mara Moja tabia yake ya uchawa la sivyo....
Kweli kabisa mkuu, site tumeathirika, kwa mfano classmates wangu wengi wameaga Dunia.Mkuu , kuna ambae hakuathirika na maandamano hapa tanzania ?
A Bado.Siyo uchawa tu, hadi viongozi walioshinda sijui wataongozaje.
Leo Manara kapokelewa kwa namna hii!
View attachment 3498260
Tutafundishana kwa namna ngumu mkuu.Aiseeeee! Japo nimechelewa kufika hapa, lakini siyo mbaya siyo makosa yangu ni ya huyu ndege mwehu hakunitag kwa uzi, nafikiri tukimfyeka mmoja mbele ya kamera tutakuwa tumemaliza kibarua maimae.
Sijaona hata mmoja akipongeza ushindi mkuuuubwaa wa 98%Kwanza kabisa nawapa pole wale wote walioathirika kwa namna Moja ama nyingine katika harakati ya kulikomboa Taifa letu, waliotutangulia wale pema, amen!
Wakuu kazi ya kuipamba serikali (uchawa) imefutika rasmi mnamo 29, octoba baada ya shughuli kubwa ya watanzania kuonesha nia ya kulikomboa Taifa lao.
Natumai wale walambao miguu ya Viongozi hawatarudia tena ile tabia, maana wameona kilichotokea.
Nimeona watanzania Wana Kila dalili ya kupita na chawa yeyote atakayeipamba CCM.
Nimemaliza.
Cc Dr am 4 real PhD
Mbaga Jr
Kenge huwa hasikii hadi damu ianze kumtoka masikioni ndio husika.Bado haijaisha, c unaona kuna mpuuzi mmoja alichomewa kibanda chake cha mama ntilie lakini bado akaenda kujiuza kujiuza mbele ya ccm
We acha tu hapa nilipo natafuta mteja wa kumuuzia hii Tv yangu, maana nikimuona mama yao kwa kioo natamani niifumue manati, na kutupa manati siwezi maana ni ya ulithi ni bora nikauza hili beseni nisiendelee kutazama katuni za hovyo.Tutafundishana kwa namna ngumu mkuu.
Wametuona mbuzi sana hawa jamaa.
Hapa kijiweni kuna masela hawaonekani na hawapatikani kwa simu na magetoni hawapo tumewatafuta sana hatujawapataKweli kabisa mkuu, site tumeathirika, kwa mfano classmates wangu wengi wameaga Dunia.
Yaani kitendo Cha mtanzania mmoja kuuwa na hawa wapumbavu ni athari hasi kwa watanzania wote.