Nadhani kazi ya uchawa imefutwa rasmi Oktoba 29, 2025

bado kumtembelea mwijaku

anajifanya yupo nje ya nchi kuweka video za china sjui saudia


Hebu mkamtembelee maana naona bado ana dharau sana
 
We acha tu hapa nilipo natafuta mteja wa kumuuzia hii Tv yangu, maana nikimuona mama yao kwa kioo natamani niifumue manati, na kutupa manati siwezi maana ni ya ulithi ni bora nikauza hili beseni nisiendelee kutazama katuni za hovyo.
Mkuu kuliko kuangalia vyombo vya habari vya Tanzania, bora uangalie pornography
 
Sijaona hata mmoja akipongeza ushindi mkuuuubwaa wa 98%
Ukipongeza moja kwa moja UNAONGEZWA KWENYE MAADUI WA TAIFA AMBAO NI UJINGA, UMASKINI NA MARADHI...

SASA CHAWA YEYOTE YULE AKIPONGEZA HUU USHINDI ANA BE ADDED KWENYE MAADUI WA TAIFA NA WANAJUA HASIRA ZA WANANCHI WALIO POTEZA WAPENDWA WAO KWA KUSHAMBULIWA RISASI OVYO OVYO..
 
Hofu yangu kubwa ni kuwa Chawa wamesombwa kwenda Mjengoni,na hapo,huo ni zaidi ya uchawa ninavyouona,sii tena wanguoni ila utakuwa/umekuwa uchawa wa damuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…