Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.

Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo.

Cha zaidi ni Ngumu sana kujishusha kutumia simu ya kawaida hata kama hali yake kwa huo muda hairuhusu.

Tunakoelekea kuna watu wataumwa ugonjwa wa kutokuwa na iPhone na utakuwa na dalili zake nyingi tu.

Tuanze kutafuta dawa

Muwe na siku njema, niko tayari kuzipokea comments, sasa hivi tuko iPhone 16.




Nimeona kasi ya vizinga vya mabinti imeongezeka ghafla. Yani hata January haijafika, nikashangaa, kuna nini tena?

Kumbe kuna iPhone mpya imetoka!
 
Acha kupangiana matumizi
Kila mtu ana chaguo lake

Ova
 
Back
Top Bottom