Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Kuna kitu wengi wetu huwa mnashindwa kukigundua. Duniani tunaishi kutafuta furaha, kama iphone inakupa furaha go for it, kama utalii unakupa furaha go for it, chochote kile kinachokupa furaha kifanye ili mradi kipato kinaruhusu na haumkwazi mtu.

Sio shabiki wa Iphone ila naelewa watu wanaopenda hizo simu. Hatuwezi kufanana.
Sure mkuu 🤝
 
Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.

Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo.

Cha zaidi ni Ngumu sana kujishusha kutumia simu ya kawaida hata kama hali yake kwa huo muda hairuhusu.

Tunakoelekea kuna watu wataumwa ugonjwa wa kutokuwa na iPhone na utakuwa na dalili zake nyingi tu.

Tuanze kutafuta dawa

Muwe na siku njema, niko tayari kuzipokea comments, sasa hivi tuko iPhone 16.

Kama una pesa kama Mond, dangote, kuwa na iphone, ni status, lakini kama ka salary kenyewe chini ya Milioni 2,unajikakamua kumiriki simu ya Milioni 3! Huo ni ugonjwa wa akili, kuna Dogo mmoja, kitaa,mshahara 400K, anajikakamua kudunduliza anunue iphone hata kama ni used! Ii mradi Gen Z vibinti vimuone yupo latest, bado anaishi kwao,
 
Uko sahihi
 
Anaishi kwa show off atateseka sana.
 
Ni kweli mkuu, mfano Huawei ni simu moja nzuri sana, angalia jana nao wamezindua simu mpya inayokunjika mara tatu, pia inatumia akili mnemba (AI), na unaweza kuipata kwa $2,800, 🙌🏽
Teknolojia inakweenda kasi sana sasa Sijui ten years to come tutakuwa wap katika mfumo mzima wa maisha
 
Halafu Ukute kuna watu walishapewa mimba wakatoa sababu ya iphone 3 wapo tayari kwa lolote sababu ya iphone 16. Yaani kila mwaka kuna jambo linampata sababu ya iphone kwa miaka 13.
 
Kwa mie mpendwa picha , Google pixel 🙌🙌
Sio mchezo ... though napenda Samsung 😄
Hatar na nusu mm natumia Tecno wereva 😃
Nilichungulia Kwa mtu picha google pixel babalao
kunarafikiyngu ana I phone 11 pro tumeenda sehemu akasema nimpigie picha 😀 aisee Giza sio Giza ukungu sio ukungu 😀😀

Nikaweka pembeni hebu nitumie simu yangu akagoma nikamwambia tulia simu yangu ikatoa picha Kali kuliko hiyo I phone akabaki nipigie bas unitumie Whatsapp 😀😀
 
Unafikiri watakuelewà basi
Wana amini iphone ndo cm
😄😄 Nimecheka eti nipigie nitumie wasap.
Ila Kwa jina/brand iphone anauza
Ila G pixel kiboko aisee
Nasikia Kuna ya 1 m,sipati picha🙌
 
Back
Top Bottom