Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Tafuta pesa kijana.

Mimi nina simu 2, iPhone 14 ProMax na Samsung S23 Ultra.
IDs fake zinafanya kila mtu awe na maisha ya kifahari, mjuaji , msomi, ana umri mkubwa na sio hohehahe. Mimi binafsi natumia iphone 6 plain sijajua kwanini nalipenda sana toleo hili na ni kipindi kirefu tu hata nikibadilisha huwa nanunua tena ya aina hii hii yaani iphone 6 plain.
DD9E4244-4400-49C5-8C40-0FD7CE3DA975.png
 
Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.

Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo.

Cha zaidi ni Ngumu sana kujishusha kutumia simu ya kawaida hata kama hali yake kwa huo muda hairuhusu.

Tunakoelekea kuna watu wataumwa ugonjwa wa kutokuwa na iPhone na utakuwa na dalili zake nyingi tu.

Tuanze kutafuta dawa

Muwe na siku njema, niko tayari kuzipokea comments, sasa hivi tuko iPhone 16.

Mimi nlinunua i phone X 2018 kipindi imetoka natumia mpaka leo sina mpango wa kubadili mpaka siku itakapoharibika
 
Siwezi kutumia S20 kiufupi samsung hawana simu zenye muonekano mzuri waige kwa Apple ..Simu kama sabauni labda mshamba kama wewe ndio unaweza kutembea nayo mfukoni
Mwanaume unaogopaje simu kubwa , mwanaume ni aidha uwe na simu ya button au Sumsung , I phone achia watoto wakike wagombanie
 
Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.

Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo.

Cha zaidi ni Ngumu sana kujishusha kutumia simu ya kawaida hata kama hali yake kwa huo muda hairuhusu.

Tunakoelekea kuna watu wataumwa ugonjwa wa kutokuwa na iPhone na utakuwa na dalili zake nyingi tu.

Tuanze kutafuta dawa

Muwe na siku njema, niko tayari kuzipokea comments, sasa hivi tuko iPhone 16.

Hiii simu inawapeleka watu less sana
 
Kuna kitu wengi wetu huwa mnashindwa kukigundua. Duniani tunaishi kutafuta furaha, kama iphone inakupa furaha go for it, kama utalii unakupa furaha go for it, chochote kile kinachokupa furaha kifanye ili mradi kipato kinaruhusu na haumkwazi mtu.

Sio shabiki wa Iphone ila naelewa watu wanaopenda hizo simu. Hatuwezi kufanana.
 
Back
Top Bottom