Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Products za kampuni ya Apple ni nzuri sana kuanzia Mac, iPhone, Apple Watch nasema hivyo sababu mimi nimtumiaji wa vifaa vya Apple.
Wengine kitu kikishakuwa kinamilikiwa na kila Mtu (maarufu) basi hutupati huko kivyovyote maana huwa tunapenda upekee, ni heri ninunue simu brand isiyojulikana kabisa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
wale wanaohangaika kila mwaka kwenda na toleo jipya na matumizi yao ni hayahaya ya kawaida tu ya mawasiliano, social networks music na movies. unless kama kipato kinaruhusu sina shida nao
 
Ulimbukeni tu mtu kashika simu ya m 2 harafu analia hana mtaji ama anagongea msosi hata hela ya kula tu shida;!!!Unajiuliza hiyo nguvu ya kupata hela anunue iphone angeitumia kupambania maisha yake angekua mbali.
Nakubaliana na watu kua hawa vijana wako tayari hata kutoa tako ili apate iphone🥴🥴
 
Samsung wananikera simu zao ni kubwa sana kama mkebe labda zile fold ndio kali, watoe ndogo ndio maana nataka kuchua Google pixel 8 Pro ...Pixel six sikuipenda shape mbaya angalau pixel 3 mpaka 5 .
Mbona s20 zipo size ya iphone tu, acha ushamba hujatumia samsung ww, au unadhan kila samsung ni Note, note series ndio pana ila s series zinakua average tu
 
Mbona s20 zipo size ya iphone tu, acha ushamba hujatumia samsung ww, au unadhan kila samsung ni Note, note series ndio pana ila s series zinakua average tu
Siwezi kutumia S20 kiufupi samsung hawana simu zenye muonekano mzuri waige kwa Apple ..Simu kama sabauni labda mshamba kama wewe ndio unaweza kutembea nayo mfukoni
 
Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.

Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo.

Cha zaidi ni Ngumu sana kujishusha kutumia simu ya kawaida hata kama hali yake kwa huo muda hairuhusu.

Tunakoelekea kuna watu wataumwa ugonjwa wa kutokuwa na iPhone na utakuwa na dalili zake nyingi tu.

Tuanze kutafuta dawa

Muwe na siku njema, niko tayari kuzipokea comments, sasa hivi tuko iPhone 16.




Mtu anamiliki iphone halafu anagongea vocha ya buku.
 
Back
Top Bottom