Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

💡
According to reports, the iPhone lasts 4-10 years, followed by Samsung units, which can last 3-6 years. Huawei and Xiaomi units have an average lifespan of 2-4 years, while OPPO units have 2-3 years.
 
Vipi kuhusu Tecno?

Kuna demu wangu nilimnunulia Tekno kama miaka 2 iliyopita yaani mwezi uliopita imezima yenyewe 🤣🤣🤣
 
Mimi nlishawahi miliki ila ilinipa shida sana kuachana nayo ni kama kaugonjwa fulani hivi hela sina ila niko napambana kupata iPhone nyingine nikaona ujinga
Mimi nilifanikiwa kukemea na kuachana nazo mpk leo,ilikuwa 7 nadhani
Waaai iPhone iko kinyume nyume sana 😂😂😂😂
Kuitumia yenyewe ni tafrani 😂😂
Hakika,binafsi pia hii ilikua kero kubwa
 
Back
Top Bottom