Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Muwe na siku njema , niko tayari kuzipokea comments , sasa hivi tuko iPhone 16
Steve Job alicopy idea kwa rafiki yake Microsoft Ila Microsoft kaacha kutoa hizo series za windows sasa maana pia ulikua ni ugonjwa watu walikua ikitokea windows mpya ya zamani inapigwa chini sasa hivi imeishia 11 hapo hakuna muendelezo Ila imasemekana ugonjwa huo unarudi 2025 ambapo windows 12 itatoka, kwa hio ni mkakati wa biashara
 
Haya mambo ya Series ni shida sana
 
Kwakeeli iPhone ni baba lao.. maana kutwa kuijadili na kuanzishia mauzi yanayo zihusu, ila iSheep Wala wao hawana mda wa kuanzisha madam kuponda simu zingine..

Kuna msemoo.. mti mwema ndio hupigwa mawe.. kwa halii hii iPhone ni mti mwema.

Screenshot_20240910-174203~2.png
 
Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.

Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo .

Cha zaidi ni Ngumu sana kujishusha kutumia simu ya kawaida hata kama hali yake kwa huo muda hairuhusu .

Tunakoelekea kuna watu wataumwa ugonjwa wa kutokuwa na iPhone na utakuwa na dalili zake nyingi tu.

Tuanze kutafuta dawa

Muwe na siku njema , niko tayari kuzipokea comments , sasa hivi tuko iPhone 16

Once Apple pulls you into its ecosystem, it's easier for a camel to pass through the eye of a needle than for you to break free.
 
Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.

Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo .

Cha zaidi ni Ngumu sana kujishusha kutumia simu ya kawaida hata kama hali yake kwa huo muda hairuhusu .

Tunakoelekea kuna watu wataumwa ugonjwa wa kutokuwa na iPhone na utakuwa na dalili zake nyingi tu.

Tuanze kutafuta dawa

Muwe na siku njema , niko tayari kuzipokea comments , sasa hivi tuko iPhone 16

Umejuaje wakati we huna?
 
Back
Top Bottom