Nehemia Kilave JF-Expert Member Joined Jan 9, 2022 Posts 1,414 Reaction score 3,118 Aug 13, 2024 #1 Kwa hali ilivyo wanaume tutaendelea kuondoka mapema sana , tunaumia ndani na kufa kimya kimya huku wenzetu wanatetewa kila mahali Ukatili na unyanyasaji upo sana dhidi ya wanaume Kiwepo chama imara cha kulinda haki za wanaume Nawasilisha
Kwa hali ilivyo wanaume tutaendelea kuondoka mapema sana , tunaumia ndani na kufa kimya kimya huku wenzetu wanatetewa kila mahali Ukatili na unyanyasaji upo sana dhidi ya wanaume Kiwepo chama imara cha kulinda haki za wanaume Nawasilisha
L Lakabu JF-Expert Member Joined May 26, 2023 Posts 511 Reaction score 1,277 Aug 13, 2024 #2 Mwanaume hakuna wa kumsaidia mpaka pale watakapotambuwa jukumu lao kuwapo duniani.
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Aug 13, 2024 #4 Kidume unalalamika hivi , umeonewa na nani mkuu?
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Aug 13, 2024 #5 Pole sana Mkuu.
Nehemia Kilave JF-Expert Member Joined Jan 9, 2022 Posts 1,414 Reaction score 3,118 Aug 13, 2024 Thread starter #6 Shadeeya said: Pole sana Mkuu. Click to expand... Hapana mkuu mi nipo bado sijaingia huko ila kwa ninayo yajua kuna haki ya kuwa na mtetezi
Shadeeya said: Pole sana Mkuu. Click to expand... Hapana mkuu mi nipo bado sijaingia huko ila kwa ninayo yajua kuna haki ya kuwa na mtetezi