Nadhani mabeberu wa nchi za Magharibi wanaelekea kulielewa somo sasa: Chezea kingine ila siyo sharubu za Putin

Sijapata kuona kiongozi mpumbavu kama raisi wa Ukraine!

Kwanza ni mbinafsi na hana huruma na raia wake! Hana talanta ya uongozi!

True. Vita inapiganwa kwenye ardhi yake, anaua miundombinu yake na watu wake mwenyewe ili kuwafurahisha Wamarekani
Hili jukwaa lina vituko sana!

Ngoja na mimi niongezee:
Ni jambo la kipuuzi sana rais wa nchi anavamia nchi yake mwenyewe kijeshi kwa visingizio kwamba analinda raia haohao aliowavamia.

Hana huruma kabisa!
 
Iondoe China kwenye List.
 
Hata UN inaunga mkono kama hawaungi mkono

Anyongwe klinton
Anyongwe blair
Anyongwe bush
Anyongwe obama
Anyongwe sarkozy
Anyongwe netanyahu
Anyongwe na PUT IN

Wakishindwa nao wanaunga mkono kwahio kama wataunga wao nasisi tutaungana nao

Mwisho RUSSIA wanahaki yakujilinda kama US alipojilinda dhidi ya AFGHANISTAN nk

Kwaustawi wahii DUNIA tunaihitaji RUSSIA ilioimara zaidi leo kuliko jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini kwa hakika atadhoofika na kuirudisha nchi yake nyuma sana


[emoji23][emoji16][emoji23] amka kumekucha MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena putin ana huruma sana alipaswa kuangusha makombora mazito hapo kiev kumaliza huu mgogoro mapema


PUT IN anahuruma mpaka anaudhi [emoji35][emoji34][emoji35][emoji35][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali ilivyo sasa, tunahitaji Russia imara na kiongozi mwenye misimamo kama Putin.

EU wanatia huruma balaa, wamebaki na matamko kama viongozi wa chadema.
 
Mabeberu ni kina nani?

Mara ya pili hii naliona hilo neno, ndani ya muda mfupi sana!

Hivi mnaelewa kweli maana ya huo msamiati? Ama mnautumia[ga] tu ili mradi kuchangamsha kijiwe?
Mabeberu kwa lugha ya kiingereza ni imperialists! na sera yao inaitwa imperialism! Ni watu watu wenye hulka ya kutaka kutawala kila eneo! lengo lao kuu ni kujitanua kwa kutumia mabavu ya kiuchumi na kijeshi!! Mfano mzuri ni marekani!! a policy of extending a country's power and influence through colonization, use of military force, or other means. Kihistoria hii ndiyo dhana ya ukoloni. Kwa leo tunauita ukoloni mamboleo!! Mabeberu hawaamini kama tunaweza kuwa na uhuru wa kujiamulia mambo yetu kwa kuongozwa na maslahi yetu!!
Kwenye huu uzi mabeberu wamegonga mwamba kwa PUTIN!! Walikuwa na ndoto za kujitanua hadi Ukraine kwa mgongo wa NATO!! Kwa mtazamo wa urusi, NATO ni nyoka, hapaswi kupewa nafasi ya kujinafasi hadi ukraine ambayo ni sehemu nyeti sana kijeshi!
 
Tena putin ana huruma sana alipaswa kuangusha makombora mazito hapo kiev kumaliza huu mgogoro mapema


PUT IN anahuruma mpaka anaudhi [emoji35][emoji34][emoji35][emoji35][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
Amemteua jenerali mmoja hivi katili sana kusimamia mapambano ndani ya ukraine!! Alikabidhiwa mikoba rasmi jumamosi, kufikia jumatatu alfajiri akakinukisha balaa!! jumanne asubuhi akakinukisha tena!! Ukraine ni kilio kila kona!! Sidhani kama ukraine atarudia tena ugaidi hadi ndani ya urusi kabisa!! Huyo jenerali ndiye aliyesimamia mapambano nchini Syria dhidi ya waasi waliokuwa wanaungwa mkono na kupewa silaha na marekani!! Yeye hazungumzi kabisa kwa mdomo, huzungumza kwa vipigo tu kwenye uwanja wa vita!
 
Daaaaah Russia kweli Ni hatari kumbe Toka kitambo alikuwa anaweza kushambulia kyiv

[emoji23][emoji23]
 
Kupitia hiyo definition yako uliyoileta, aliyeivamia Ukraine kijeshi na kuanza kujitangazia umiliki wa maeneo ya taifa hilo naye ni beberu ama si beberu?
 
We ni guluguja aka kinabo
 
Nchi zilizo huru kweli kweli duniani kiasi ambacho zinaweza kuamua chochote na hakuna wa kuzilazimisha kubadili matakwa yake ni: 1. Urusi 2. Korea ya kaskazini 3. Iran 4. Cuba 5. Israel
Marekani hana sifa ya kuwa nchi huru kwa sababu hulazimishwa kufuata matakwa ya Israel. China hana sifa ya kuwa nchi huru kwa kuwa hajiamini japo ana nguvu kubwa kijeshi na kiuchumi!! Haamini kama anaweza kustahimili vikwazo na vitisho vya marekani!! Marekani huwa inamdhalilisha sana! Nchi zote za ulaya ni kama koloni la marekani!! Ziko tayari kupata hasara ili mradi zisimkasirishe marekani! Kwa mfano kwa sasa nchi za ulaya zinalazimika kununua gesi ya LNG toka marekani kwa bei ya mara NNE zaidi!! Angalau nchi ya ulaya ambayo huwa inajitahidi kidogo kumkomsalia marekani ni Ufaransa. Ufaransa ndiyo inayotaka kujaribu kumkomalia marekani asiuze gesi ulaya kwa bei ya juu mara nne zaidi! wengine wote wamenywea!!

US taking advantage of EU energy crisis – Paris​

Washington is selling gas to the EU for four times what it charges at home, the French finance minister says.
 
Kupitia hiyo definition yako uliyoileta, aliyeivamia Ukraine kijeshi na kuanza kujitangazia umiliki wa maeneo ya taifa hilo naye ni beberu ama si beberu?
Hao wananchi wamepiga kura wenyewe kutaka kujiunga na urusi kwa hiari yao!! Halafu ujue hayo maeneo zaidi ya asilimia 85 yanakaliwa na warusi!! Wartusi hawa wamekuwa wananyanyaswa sana na kuuliwa nchini ukraine kuanzia mwaka 2014!! Ni kama ilivyo wajaluo wa Tanzania na wajaluo wa kenya!! Wajaluo wa Tanzania tukiamua kuwanyanyasa na kuwaua wakipewa nafasi ya kuchagua kujiunga na kenya bila shaka watakubali!! Zelensky ajilaumu mwenyewe kwa kuandaa mazingira ya warusi walioko ukraine mashariki na kusini waichukie ukraine!! Hata leo ukisema warudie kupiga kura chini ya uangalizi wa umoja wa mataifa bado watachagua kuhamia urusi!!
 
Umeleta narrative inayopingana na definition yako mwenyewe kuhusiana na ubeberu!

Aliyeivamia Ukraine kijeshi na kuanza kujitangazia umiliki wa maeneo ya taifa hilo naye ni beberu ama si beberu?
 
Hata sasa kiongozi sisi tunatawaliwa na USA na washirika wake. Ukitaka kuamini nenda kanunue mafuta ya bei ndogo toka Urusi. Utaona..

Hawa wanafanana ni utofauti wa Application tu.

Muulize JK Nyerere, 80% walichagua chama kimoja, na 20% vyama vingi kwa akili ya kawaida mfumo gani ulishinda? Lkn kwa akili isiyo ya kawaida ikashinda 20%.

Kama walikubaliana kutoendelea kuweka base karibu na nchi zao kwanini waisogelee tena kwa Maabara za biological weapons. Ujinga wa Ukraine utamgharimu hata kama Russi atashindwa ola Ukraine atakuwa amechakaa na huenda displaced kabisa
 
Tulionyweshwa seti 18 hapa kuwa zimefika ucrein au ndo hizo propaganda??
 
Yote hayo nchi za magharibi zilikwisha yafanya nchi kama vile: Libya, Syria, Afghanistan, Yemen, n.k.
Anza kwanza kulaumu nchi za magharibi.
 
Wewe ni mpuuzi na mpumbavu
Nashukuru!! Ila ujue nchini kwetu kuna wanyarwanda wengi sana ambao wanadai kuwa ni watanzania! Mnyarwanda ni kama myahudi, hasahau kwao! Hata akipata uraia wa nchi nyingine, anajihesabu ni mnyarwanda kwanza kisha huo uraia mwingine ndo unafuata!! Tulipokea wakimbizi wengi sana wanyarwanda miaka ile ya sabini. Wengi wao wameshakuwa raia wa Tanzania na kizazi chao wote (wanazaana sana) ni raia wa Tanzania lakini mioyoni mwao wanajihesabu ni wanyarwanda!! Ukitokea mgogoro kati ya Tanzania na Rwanda lazima kwa siri au kwa wazi watakuwa upande wa Rwanda!! Watatuhujumu na hatutawaweza!

Hilo ndilo tatizo la Marekani kuhusu wayahudi!! Marekani kuna wayahudi wengi ambao wamekuwa raia wa Marekani lakini mioyoni mwao bado wanajihesabu kuwa ni wayahudi. Wako kwenye kila sekta muhimu huko marekani, kwa hiyo marekani inalazimika kuitetea Israel hata kama haipendi vinginevyo itakula kwake!! Asante kwa kunitukana lakini huo ndio ukweli!!!

Watusi waliposhika tena utawala nchini nRwanda chini ya Kagame, watanzania wengi wenye asili ya Rwanda huko Kagera walirudi Rwanda kwa maelfu!! Siidharau nchi yangu wala si kwamba hatuna nguvu, lakini kupigana na kilichoko nguoni mwako ni maafa!!
 
Kaka mbona kla siku Israel anayachukua maeneo ya palestna???sijackia USA Wala EU kuiwekea vkwazo Israel
Unafiki tu watu umewajaa na ushabiki, tatizo vita safar hii vimeenda ulaya walizoea kuchezea nchi za Africa na Asia tu safar hii ni kwao acha putin awape somo mbwa koko hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…