FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Inapotokea kuna uhitaji wa kutekeleza miradi miwili mitatu ya maendeleo , mfano ukarabati wa barabara za mitaani au madaraja madogo madogo yasiyohitaji zaidi ya bilioni 1, nadhani pangekuwa panafanyika coordination na mahakama ili kuangalia ni nani na nani (wenye kesi na wenye uwezo wa kulipa /kulipiwa) ambao wanaweza wakabamizwa faini nono nono ili walau kuboost maendeleo ya jamii, au nyie mnaonaje?