FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Kuna wazee pale Segerea tungeongea nao vizuri, tungechukua mpunga wa kutosha tu. Kuanzia yule mtanzania mwenye asili ya kigabachori na mshirika wake, yule kijana mtaalam wa kukusanya hela bila kufanyiwa kazi, wale wadau wazoefu wa kuhesabu chapa Lincoln, yule mdada mtata, kule Mazuu kuna kada na yuko huyu mgosi mhuni anaewaibia wanyonge.Inapotokea kuna uhitaji wa kutekeleza miradi miwili mitatu ya maendeleo , mfano ukarabati wa barabara za mitaani au madaraja madogo madogo yasiyohitaji zaidi ya bilioni 1, nadhani pangekuwa panafanyika coordination na mahakama ili kuangalia ni nani na nani (wenye kesi na wenye uwezo wa kulipa /kulipiwa) ambao wanaweza wakabamizwa faini nono nono ili walau kuboost maendeleo ya jamii, au nyie mnaonaje?
Mkuki kwa nguruweInapotokea kuna uhitaji wa kutekeleza miradi miwili mitatu ya maendeleo , mfano ukarabati wa barabara za mitaani au madaraja madogo madogo yasiyohitaji zaidi ya bilioni 1, nadhani pangekuwa panafanyika coordination na mahakama ili kuangalia ni nani na nani (wenye kesi na wenye uwezo wa kulipa /kulipiwa) ambao wanaweza wakabamizwa faini nono nono ili walau kuboost maendeleo ya jamii, au nyie mnaonaje?
Unafurahia wenzako kuteswa bila kosa! Kumbuka "mchimba shimo iko siku ataingia mwenyewe"[emoji317][emoji3517]Inapotokea kuna uhitaji wa kutekeleza miradi miwili mitatu ya maendeleo , mfano ukarabati wa barabara za mitaani au madaraja madogo madogo yasiyohitaji zaidi ya bilioni 1, nadhani pangekuwa panafanyika coordination na mahakama ili kuangalia ni nani na nani (wenye kesi na wenye uwezo wa kulipa /kulipiwa) ambao wanaweza wakabamizwa faini nono nono ili walau kuboost maendeleo ya jamii, au nyie mnaonaje?