Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Bado hamjasemaTimu iliyokuwa nishati wakati wa jiwe irejeshwe kazini twafa na tai shingoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hamjasemaTimu iliyokuwa nishati wakati wa jiwe irejeshwe kazini twafa na tai shingoni
Bado hamjasema
Jeshi utasema wao sio sehemu ya Watanganyika..huu ndio wakati sasa wa kuonyesha, UZALENDOLabda jeshi nalo lichoke huu utawala, la sivyo wizi wa kura thubutu kung'oka abadani
Jeshi hili hili la CCm amabalo limeshaaambiwa 2025 kuta kuwa na vurugu wajiandae unatarajia watachoka wanajeshi wenye akili na afrika magharibi huku kwingine ni wachumia tumbo na waimba mapambioLabda jeshi nalo lichoke huu utawala, la sivyo wizi wa kura thubutu kung'oka abadani
Jinga ww la TaifaKama Serikali inawapa jibu kwamba Kuna uhaba wa umeme kulinganisha na mahitaji huelewi.
Kama unaambiwa hata baada ya uhaba kuisha ila katika katika haiwezi kuisha haraka Kwa sababu miundombinu ni chakavu hutaki.
Ni lini awamu ya 5 umeme ulikuwa haukatiki?
Conclusion ni kwamba ukisema wanahujumu sijui wamefanyaje Utajua mwenyewe.
Labda raia wachoke. % kubwa ya Raia bado wapo bega na bega na CCM otherwise kungeshaharibika.Labda jeshi nalo lichoke huu utawala, la sivyo wizi wa kura thubutu kung'oka abadani
Jeshi kubwa ni wewe, mm na raia wa kawaida wengine. Kama hupati sapoti ya kuonyesha hilo linaloitwa uzalendo ujue bado watu hawajachoka au kuikinai ccm.Jeshi utasema wao sio sehemu ya Watanganyika..huu ndio wakati sasa wa kuonyesha, UZALENDO
Hata tukikatiwa uneme kwa mwezi mzima Magufuli atabqkia dikteta tu aliyeharibu nchi yetu.Na bado hamjasema, mpaka mseme.
Laana iende kwa wote ambao hawakujali juhudi binafsi za Magufuli.
Kutwa kushinda kwenye mitandao kumtukana na kumuita dicteta.
Acha twende hivi hivi hii ngozi haina shukurani.
Acha wahuni wasio na huruma watubonde hadi akili zitukae sawa.
Tulitaka demokrasia, haya mama katupa.
Tulitaka rais mpole, haya Mungu katupa.
Hata wakati w jpm umeme ulikuwa unakatika acha kudanganya watuMASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM.
1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme?
2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans zenu ziko wapi? Hakuna wasomi?
3.Wajumbe wa kamati ya miundombinu ya bunge wanalalamika kwenye Bwawa la Mtera hakuna maji pamoja na mafuriko ya mvua za sasa, nje ya mtera Mabwawa yamejaa maji watu mpaka watu wanalima mpunga, kwanini maji hayaingii bwawa la Mtera?
Ukilitazama tatizo la umeme nchini unaona ni la makusudi na la kutengenezwa na walafi wachache nchini. Kwani hata huo umeme wa maji wa bwawa la Mwalimu Nyerere JNHP sioni kama utaleta ufanisi hata kwa 50% kwa sababu kama tumeshindwa kusimamia vyanzo vidogo vya kuzalisha umeme unafikiri hiki chanzo kikuu kitawezekana?
Kama watu wachache hawataki umeme uwake kwa sasa na wananufaika na mgao huu, unafikiri watakubali JNHP izalishe umeme? Naibu Waziri mkuu Doto Biteko anesema haijulikani Mgao wa umeme utaisha lini, huu ndio ukweli na yeye amesema ukweli.
Kiukweli kabisa toka moyoni CCM kimeshindwa kutatua matatizo ya nchi hii, kulazimisha kusalia madarakani ni kuumiz raia bila sababu. Kama wameshindwa kumaliza tatizo la imeme zaidi ya miaka 60 ya Uhuru madarakani wanasalia kufanya nini? Wanasalia madarakani kujipamgia na kujigawia Posho tu hawana kazi.
Upo sawa, hawa wanaijenga nchi yetu.Hata tukikatiwa uneme kwa mwezi mzima Magufuli atabqkia dikteta tu aliyeharibu nchi yetu.
Nani atatuambia ukweli kuhusu gas ya Mtwara ? Naamini gas ingetumalizia tatizo kubwa umeme nchini...ni kweli JK ameuza gas yote kwa wachina? ....naomba tujue ukweli wote then tuamue....way forward ...MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM.
1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme?
2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans zenu ziko wapi? Hakuna wasomi?
3.Wajumbe wa kamati ya miundombinu ya bunge wanalalamika kwenye Bwawa la Mtera hakuna maji pamoja na mafuriko ya mvua za sasa, nje ya mtera Mabwawa yamejaa maji watu mpaka watu wanalima mpunga, kwanini maji hayaingii bwawa la Mtera?
Ukilitazama tatizo la umeme nchini unaona ni la makusudi na la kutengenezwa na walafi wachache nchini. Kwani hata huo umeme wa maji wa bwawa la Mwalimu Nyerere JNHP sioni kama utaleta ufanisi hata kwa 50% kwa sababu kama tumeshindwa kusimamia vyanzo vidogo vya kuzalisha umeme unafikiri hiki chanzo kikuu kitawezekana?
Kama watu wachache hawataki umeme uwake kwa sasa na wananufaika na mgao huu, unafikiri watakubali JNHP izalishe umeme? Naibu Waziri mkuu Doto Biteko anesema haijulikani Mgao wa umeme utaisha lini, huu ndio ukweli na yeye amesema ukweli.
Kiukweli kabisa toka moyoni CCM kimeshindwa kutatua matatizo ya nchi hii, kulazimisha kusalia madarakani ni kuumiz raia bila sababu. Kama wameshindwa kumaliza tatizo la imeme zaidi ya miaka 60 ya Uhuru madarakani wanasalia kufanya nini? Wanasalia madarakani kujipamgia na kujigawia Posho tu hawana kazi.
Kabisa yanMASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM.

umenena ukweli mtupu, Maneno haya inabidi yawekwe kwenye makumbusho ya taifa kwa faida ya vizazi vijavyo 😀 😀 😀Na bado hamjasema, mpaka mseme.
Laana iende kwa wote ambao hawakujali juhudi binafsi za Magufuli.
Kutwa kushinda kwenye mitandao kumtukana na kumuita dicteta.
Acha twende hivi hivi hii ngozi haina shukurani.
Acha wahuni wasio na huruma watubonde hadi akili zitukae sawa.
Tulitaka demokrasia, haya mama katupa.
Tulitaka rais mpole, haya Mungu katupa.
Kwani hujui kuwa gesi iliuzwa awamu ya nneWatu siyo hawakujali juhudi za magufuli ila tumefika kwenye hizi shida zote kwa ajili yake. Mipango ilikuwa imewekwa vizuri ya uzalishaji wa umeme wa Gesi yeye akaanzisha mradi mwingine wa matrlioni wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na mipango yote iliyoluwa imewekwa na wenzake akaiweka pembeni. Unaunakuta sababu kubwa ni maswala ya ulaji tu na wana si maswala ya uzalendo. Mimi kiasi fulani namuunga Mkono Mama Samia ni Mtu anaye sikiliza ushauri na tena anawashauri wazuri. Naamini kwa mipango yake tatizo la umeme litakwisha mda si mrefu. Ila Tanesco na TPDC wajipange vizuri kiusimamizi kwanni wao ndiyo kiin na chimbuko cha hali hii. Katibu na waziri wa wizara ya Nishati ni watu waaadilifu sana na waelewa wazuri wa maswala ya nishati. naamini watatuvusha salama katika kipindi hiki ki,gumu wizara zote zingewekwa viongozi wa sampuli hii wala nchi hii isingefika katika halingumu hii ya maisha,hii nchi shida zote zingeisha baada ya kipindi kifupi sana. Mimi ni seme ingawa CCM ni ileile ila kwa kiasi fulani mama anajitahidi. Mifumo ya utendaji kazi kweli ni mibovu ila ukiweza kudhibiti mapato yasi vurugwe na wezi wakubwa mapapa umefanikiwa kujenga nchi yenye uchumi imara Na kwahilo mama anaweza kwa asilimia kubwa. Swala la kupanda kwa hali ngumu ya maisha ni swala linalitakiwa kufanyiwa mikakati endelevu. Tuimarishe kilimo chetu ambacho ndicho kinawapatia ajira aslimia 75 ya Watanzania na kuimarisha vyama vya ushirika ambavyo ndiyo nguzo kubwa ya maendeleo ya wakulima. Tuwekeze katika kunyanyua kilimo kuliko kunyanyua Wabunge.
Umeme hauna shida hata tone mgawo uliopo ni wa kuyengeneza mezani, na sukari ipo nyingi sana na imejaa kwenye maghala kikubwa hapa Dikteta kamili anatakiwa haraka sana kwa Tanzania hii na sio kama alivyokuwa magufuli,waafrika ni wa kusimamiwa muda wote na kupiga viboko ikiwezekana.MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM.
1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme?
2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans zenu ziko wapi? Hakuna wasomi?
3.Wajumbe wa kamati ya miundombinu ya bunge wanalalamika kwenye Bwawa la Mtera hakuna maji pamoja na mafuriko ya mvua za sasa, nje ya mtera Mabwawa yamejaa maji watu mpaka watu wanalima mpunga, kwanini maji hayaingii bwawa la Mtera?
Ukilitazama tatizo la umeme nchini unaona ni la makusudi na la kutengenezwa na walafi wachache nchini. Kwani hata huo umeme wa maji wa bwawa la Mwalimu Nyerere JNHP sioni kama utaleta ufanisi hata kwa 50% kwa sababu kama tumeshindwa kusimamia vyanzo vidogo vya kuzalisha umeme unafikiri hiki chanzo kikuu kitawezekana?
Kama watu wachache hawataki umeme uwake kwa sasa na wananufaika na mgao huu, unafikiri watakubali JNHP izalishe umeme? Naibu Waziri mkuu Doto Biteko anesema haijulikani Mgao wa umeme utaisha lini, huu ndio ukweli na yeye amesema ukweli.
Kiukweli kabisa toka moyoni CCM kimeshindwa kutatua matatizo ya nchi hii, kulazimisha kusalia madarakani ni kuumiz raia bila sababu. Kama wameshindwa kumaliza tatizo la imeme zaidi ya miaka 60 ya Uhuru madarakani wanasalia kufanya nini? Wanasalia madarakani kujipamgia na kujigawia Posho tu hawana kazi.
Wewe japhet ni fara sana,,hivi haya matatizo si ndiyo yalikuwa enzi za kikwete,, wakati wa mgufyri hasamiaka miatatu ya mwaisho alikuwa ameyapunguza sana,ss kaingia Samia yeye anafikilia kujirembea na kuzunguka duniani basi tumerufi kulekule,,bwawa la mtera maji yanaachiliwa ,,halijai na Rais hachukui hatua kwani Yuko sehemu ya uozo husikaWatu siyo hawakujali juhudi za magufuli ila tumefika kwenye hizi shida zote kwa ajili yake. Mipango ilikuwa imewekwa vizuri ya uzalishaji wa umeme wa Gesi yeye akaanzisha mradi mwingine wa matrlioni wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na mipango yote iliyoluwa imewekwa na wenzake akaiweka pembeni. Unaunakuta sababu kubwa ni maswala ya ulaji tu na wana si maswala ya uzalendo. Mimi kiasi fulani namuunga Mkono Mama Samia ni Mtu anaye sikiliza ushauri na tena anawashauri wazuri. Naamini kwa mipango yake tatizo la umeme litakwisha mda si mrefu. Ila Tanesco na TPDC wajipange vizuri kiusimamizi kwanni wao ndiyo kiin na chimbuko cha hali hii. Katibu na waziri wa wizara ya Nishati ni watu waaadilifu sana na waelewa wazuri wa maswala ya nishati. naamini watatuvusha salama katika kipindi hiki ki,gumu wizara zote zingewekwa viongozi wa sampuli hii wala nchi hii isingefika katika halingumu hii ya maisha,hii nchi shida zote zingeisha baada ya kipindi kifupi sana. Mimi ni seme ingawa CCM ni ileile ila kwa kiasi fulani mama anajitahidi. Mifumo ya utendaji kazi kweli ni mibovu ila ukiweza kudhibiti mapato yasi vurugwe na wezi wakubwa mapapa umefanikiwa kujenga nchi yenye uchumi imara Na kwahilo mama anaweza kwa asilimia kubwa. Swala la kupanda kwa hali ngumu ya maisha ni swala linalitakiwa kufanyiwa mikakati endelevu. Tuimarishe kilimo chetu ambacho ndicho kinawapatia ajira aslimia 75 ya Watanzania na kuimarisha vyama vya ushirika ambavyo ndiyo nguzo kubwa ya maendeleo ya wakulima. Tuwekeze katika kunyanyua kilimo kuliko kunyanyua Wabunge.