Nadhani Mgawo wa umeme ni wa kutengeneza na TANESCO wahujumu uchumi

Nadhani Mgawo wa umeme ni wa kutengeneza na TANESCO wahujumu uchumi

MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM.

1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme?

2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans zenu ziko wapi? Hakuna wasomi?

3.Wajumbe wa kamati ya miundombinu ya bunge wanalalamika kwenye Bwawa la Mtera hakuna maji pamoja na mafuriko ya mvua za sasa, nje ya mtera Mabwawa yamejaa maji watu mpaka watu wanalima mpunga, kwanini maji hayaingii bwawa la Mtera?

Ukilitazama tatizo la umeme nchini unaona ni la makusudi na la kutengenezwa na walafi wachache nchini. Kwani hata huo umeme wa maji wa bwawa la Mwalimu Nyerere JNHP sioni kama utaleta ufanisi hata kwa 50% kwa sababu kama tumeshindwa kusimamia vyanzo vidogo vya kuzalisha umeme unafikiri hiki chanzo kikuu kitawezekana?

Kama watu wachache hawataki umeme uwake kwa sasa na wananufaika na mgao huu, unafikiri watakubali JNHP izalishe umeme? Naibu Waziri mkuu Doto Biteko anesema haijulikani Mgao wa umeme utaisha lini, huu ndio ukweli na yeye amesema ukweli.

Kiukweli kabisa toka moyoni CCM kimeshindwa kutatua matatizo ya nchi hii, kulazimisha kusalia madarakani ni kuumiz raia bila sababu. Kama wameshindwa kumaliza tatizo la imeme zaidi ya miaka 60 ya Uhuru madarakani wanasalia kufanya nini? Wanasalia madarakani kujipamgia na kujigawia Posho tu hawana kazi.
Mgao wa,umeme, mgao wa sukari, mgao wa Dola, soon tutegemee mgao wa petroleum labda hata mgao wa unyumba
 
Na bado hamjasema, mpaka mseme.

Laana iende kwa wote ambao hawakujali juhudi binafsi za Magufuli.
Kutwa kushinda kwenye mitandao kumtukana na kumuita dicteta.
Acha twende hivi hivi hii ngozi haina shukurani.
Acha wahuni wasio na huruma watubonde hadi akili zitukae sawa.
Tulitaka demokrasia, haya mama katupa.
Tulitaka rais mpole, haya Mungu katupa.
We naye mjinga tu, kwahiyo sababu kipindi cha ukoloni tulikua hatuna mgao basi turudishe wakoloni? Ujinga wa CCM haumaanishi tunamtaka JPM!!
 
We naye mjinga tu, kwahiyo sababu kipindi cha ukoloni tulikua hatuna mgao basi turudishe wakoloni? Ujinga wa CCM haumaanishi tunamtaka JPM!!
Usijumlishe kwa kuongelea na wengine.
Ongelea nafsi yako, mjinga ni wewe unaedhani unafikiria kwa niaba ya wengine. Sio mjinga tu, bali wewe ni mbuzi!
Hukumtaka wewe, mimi nilimhitaji saana.
 
Mgao hautaisha mpaka mkubali kukodi ile mitambo ya IPTL pale tegeta. Watu wana hesabu zao mnataka kuwaharibia deal kama alivyofanya Ngosha.
 
Wewe japhet ni fara sana,,hivi haya matatizo si ndiyo yalikuwa enzi za kikwete,, wakati wa mgufyri hasamiaka miatatu ya mwaisho alikuwa ameyapunguza sana,ss kaingia Samia yeye anafikilia kujirembea na kuzunguka duniani basi tumerufi kulekule,,bwawa la mtera maji yanaachiliwa ,,halijai na Rais hachukui hatua kwani Yuko sehemu ya uozo husikaTangu kipindi cha kikwete matatizo yalikuwepo ila hatua zilanza kuchukuliwa kipindi cha mahufuli zikavurugwa ikaanzishwa mipango mipya ambayo haikuwa imefanyiwa utafiti wakutosha. Swala la maji kuachiliwa mtera kama lipo holo ni tatizo la kiutendaji wahusika wanapaswa wachukuliwe atua
 
RAISI MSTAAFU NA MTOTO WAKE WANAFANYA BIASHARA YA MAFUTA KATIKA NCHI YETU, WANAMILIKI SHELI KAMA ZOTE, WAO NDIO SABABU YA ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA TZ... PIA WAO NDIO SABABU YA MGAO WA UMEME TZ, ILI WAPATE KUUZA MAFUTA VIZURI KATIKA HII NCHI, AYA NI MAMBO AMBAYO RAISI WA WANYONGE ALISHAYASEMA WAZI WAZI, mambo yamerudi kama zamani.

Sent from my CMA-LX1 using JamiiForums mobile app
Umelisema hili kwa Ukali nadhani una ushahidi wa kutosha.
 
Back
Top Bottom