Nadhani Mgawo wa umeme ni wa kutengeneza na TANESCO wahujumu uchumi

Jinga ww la Taifa
 
Labda jeshi nalo lichoke huu utawala, la sivyo wizi wa kura thubutu kung'oka abadani
Labda raia wachoke. % kubwa ya Raia bado wapo bega na bega na CCM otherwise kungeshaharibika.
 
Hata tukikatiwa uneme kwa mwezi mzima Magufuli atabqkia dikteta tu aliyeharibu nchi yetu.
 
Hata wakati w jpm umeme ulikuwa unakatika acha kudanganya watu
 
RAISI MSTAAFU NA MTOTO WAKE WANAFANYA BIASHARA YA MAFUTA KATIKA NCHI YETU, WANAMILIKI SHELI KAMA ZOTE, WAO NDIO SABABU YA ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA TZ... PIA WAO NDIO SABABU YA MGAO WA UMEME TZ, ILI WAPATE KUUZA MAFUTA VIZURI KATIKA HII NCHI, AYA NI MAMBO AMBAYO RAISI WA WANYONGE ALISHAYASEMA WAZI WAZI, mambo yamerudi kama zamani.

Sent from my CMA-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nani atatuambia ukweli kuhusu gas ya Mtwara ? Naamini gas ingetumalizia tatizo kubwa umeme nchini...ni kweli JK ameuza gas yote kwa wachina? ....naomba tujue ukweli wote then tuamue....way forward ...
 
Kabisa yan
 
umenena ukweli mtupu, Maneno haya inabidi yawekwe kwenye makumbusho ya taifa kwa faida ya vizazi vijavyo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Jana niliongea na mtu nikamwambia si kwamba serikali imeshindwa kutatua haya matatizo la hasha!!! Viongozi wetu wanafikri kwamba endapo haya yatakwisha basi wao watakosa kuabudiwa na kuonekana (umaarufu) kwenye viombo vya habari.

Hivyo hutumia njia hii ili wao waendelee kuimbwa,kuabudiwa leo hii mangalore Chalamila,mara yupo kawe,mara kurasini unafikiri kama umeme ungekuwepo angeonekana?? Hivyo basi wanafanya kusudi ili tuwaabudu.
 
Kwani hujui kuwa gesi iliuzwa awamu ya nne
 
Umeme hauna shida hata tone mgawo uliopo ni wa kuyengeneza mezani, na sukari ipo nyingi sana na imejaa kwenye maghala kikubwa hapa Dikteta kamili anatakiwa haraka sana kwa Tanzania hii na sio kama alivyokuwa magufuli,waafrika ni wa kusimamiwa muda wote na kupiga viboko ikiwezekana.
 
Wewe japhet ni fara sana,,hivi haya matatizo si ndiyo yalikuwa enzi za kikwete,, wakati wa mgufyri hasamiaka miatatu ya mwaisho alikuwa ameyapunguza sana,ss kaingia Samia yeye anafikilia kujirembea na kuzunguka duniani basi tumerufi kulekule,,bwawa la mtera maji yanaachiliwa ,,halijai na Rais hachukui hatua kwani Yuko sehemu ya uozo husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…