Nadhani Mgawo wa umeme ni wa kutengeneza na TANESCO wahujumu uchumi

Mgao wa,umeme, mgao wa sukari, mgao wa Dola, soon tutegemee mgao wa petroleum labda hata mgao wa unyumba
 
We naye mjinga tu, kwahiyo sababu kipindi cha ukoloni tulikua hatuna mgao basi turudishe wakoloni? Ujinga wa CCM haumaanishi tunamtaka JPM!!
 
We naye mjinga tu, kwahiyo sababu kipindi cha ukoloni tulikua hatuna mgao basi turudishe wakoloni? Ujinga wa CCM haumaanishi tunamtaka JPM!!
Usijumlishe kwa kuongelea na wengine.
Ongelea nafsi yako, mjinga ni wewe unaedhani unafikiria kwa niaba ya wengine. Sio mjinga tu, bali wewe ni mbuzi!
Hukumtaka wewe, mimi nilimhitaji saana.
 
Mgao hautaisha mpaka mkubali kukodi ile mitambo ya IPTL pale tegeta. Watu wana hesabu zao mnataka kuwaharibia deal kama alivyofanya Ngosha.
 
 
Umelisema hili kwa Ukali nadhani una ushahidi wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…