Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Tar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri.
Hivyo tutegemee mitandaoni ya kijamii kuchangamshwa na habari mbali mbali zikiwemo za ndani sana zitazokahusu serikali na CCM kwa ujumla hasa kama hiki kitendo cha kutenguliwa watakichukua kwa mtazamo hasi .
Hivyo kwa CCM wanahitaji nguvu ya zaidi ambayo nadhani watu aina ya makonda wana hitajika .
Kwa upande mwingine tuendelee kumuomba Mama Samia atuletee katiba Mpya tumkumbuke kwa hilo na Tume huru hawa CCM nchi ilisha washinda waondoke .