Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Umebaki wewe kutenguliwa mkuu!!Mak9nda ana Damu kwenye Mikono yake.
Makonda hakika anafaa kuwa katibu mkuu. Ila sasa ni lazima amuondoe kwanza Nchimbi na Dkt Nchimbi aombe Neema ya Mungu sanaTar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri.
Hivyo tutegemee mitandaoni ya kijamii kuchangamshwa na habari mbali mbali zikiwemo za ndani sana zitazokahusu serikali na CCM kwa ujumla hasa kama hiki kitendo cha kutenguliwa watakichukua kwa mtazamo hasi .
Hivyo kwa CCM wanahitaji nguvu ya zaidi ambayo nadhani watu aina ya makonda wana hitajika .
Kwa upande mwingine tuendelee kumuomba Mama Samia atuletee katiba Mpya tumkumbuke kwa hilo na Tume huru hawa CCM nchi ilisha washinda waondoke .
Karibu sana.Umebaki wewe kutenguliwa mkuu!!
Nawaona ccm wakija kukimbia kwenye kampeni kama yule Babu Amerika.Tar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri.
Hivyo tutegemee mitandaoni ya kijamii kuchangamshwa na habari mbali mbali zikiwemo za ndani sana zitazokahusu serikali na CCM kwa ujumla hasa kama hiki kitendo cha kutenguliwa watakichukua kwa mtazamo hasi .
Hivyo kwa CCM wanahitaji nguvu ya zaidi ambayo nadhani watu aina ya makonda wana hitajika .
Kwa upande mwingine tuendelee kumuomba Mama Samia atuletee katiba Mpya tumkumbuke kwa hilo na Tume huru hawa CCM nchi ilisha washinda waondoke .
Saizi yake ahangaike na vitoto vya Ar chuga.Tar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri.
Hivyo tutegemee mitandaoni ya kijamii kuchangamshwa na habari mbali mbali zikiwemo za ndani sana zitazokahusu serikali na CCM kwa ujumla hasa kama hiki kitendo cha kutenguliwa watakichukua kwa mtazamo hasi .
Hivyo kwa CCM wanahitaji nguvu ya zaidi ambayo nadhani watu aina ya makonda wana hitajika .
Kwa upande mwingine tuendelee kumuomba Mama Samia atuletee katiba Mpya tumkumbuke kwa hilo na Tume huru hawa CCM nchi ilisha washinda waondoke .
HakikaMakonda hakika anafaa kuwa katibu mkuu. Ila sasa ni lazima amuondoe kwanza Nchimbi na Dkt Nchimbi aombe Neema ya Mungu sana
Aah wapi...watanywea kama puto zilizotobolewa....Hakuna umaarufu system ikikutemaTar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri.
Hivyo tutegemee mitandaoni ya kijamii kuchangamshwa na habari mbali mbali zikiwemo za ndani sana zitazokahusu serikali na CCM kwa ujumla hasa kama hiki kitendo cha kutenguliwa watakichukua kwa mtazamo hasi .
Hivyo kwa CCM wanahitaji nguvu ya zaidi ambayo nadhani watu aina ya makonda wana hitajika .
Kwa upande mwingine tuendelee kumuomba Mama Samia atuletee katiba Mpya tumkumbuke kwa hilo na Tume huru hawa CCM nchi ilisha washinda waondoke .
Anything is possibleAah wapi...watanywea kama puto zilizotobolewa....Hakuna umaarufu system ikikutema
Kwani ni dhambi kurudi au katiba hairuhisu ?Si alikuwepo hapo juzi tu halafu unataka arudishwe Tena? Ungeuliza kwanza sababu ya kwanini Makonda alitolewa kwenye ukatibu mwenezi.
Mkuu hapo umeharibu kabisa umahiri wako wa thread. Nakushauri usijihusishe na kumfagilia Bashite. Bashite ananuka damu za watu wasio na hatia aliowaua kwa kutumwa na Magufuli. Huyu ni mhalifu mwenye bahati tu.Tar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri.