Nadhani mtu aina ya Paul Makonda kwa sasa anahitajika sana kama Katibu Mwenezi CCM taifa kuliko wakati wowote ule

Ni kiongozi gani asiekuwa na damu ya
Mkuu nitajie kiongozi asienuka damu ya raia ili ujue na umri huo wote bado umeshikiwa akili.
 
Kwa enzi hizi na karne hii hawa vijana wote uliowataja ni waharibifu kwa CCM mpya. Ndiyo maana ya kumsumbua mama. kidogo wanaotoka nje ya CCM ni watulivu ingawaje wana mikia,tuwaheshimu
 
Sawa mkuu
 
Ningekuwa rais mimi wa kwanza kumuondoa kazini ni Makonda mana hakuna anachofanya zaidi ya drama tu.
 
Ni kiongozi gani asiekuwa na damu ya

Mkuu nitajie kiongozi asienuka damu ya raia ili ujue na umri huo wote bado umeshikiwa akili.
Wewe ndiyo utaje viongozi wakuu wa Mikoa ambao waliua watu kama Makonda. Usiniulize mimi kuwa ni viongozi gani hawana damu mikononi. Mimi nimekuambia Makonda aliua ba kujeruhi watu
 
Usitegemee kuletewa Katiba mpya mezani badala ya kuidai, tume imebadilishwa jina pekee
 
Wavaa madera wamemkalia sivyo kwenda chini siyo ajabu.
 
Kwa sababu ya msambwanda au?View attachment 3049614
😆😆
 
Wewe ndiyo utaje viongozi wakuu wa Mikoa ambao waliua watu kama Makonda. Usiniulize mimi kuwa ni viongozi gani hawana damu mikononi. Mimi nimekuambia Makonda aliua ba kujeruhi watu
Na mm nakuambia Makonda hakuua na kujeruhi watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…