Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Kwamba wao wana hati miliki ya NchiSiasa ni mzaha wewe piga kelele tu! Humu ndani ila jua ccm Alfa na umega mwanzo na mwisho tanzania
Are you serious? Yaani kweli Lissu aungane na mtu aliyesimamia zoezi la kumtoa roho?2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Makonda tena?2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
wataunganaje ilihali hawajitambui? kila mtu ni kivyake vyake tu... wakijitambua wataufuata ushari wako.2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Kuunganisha TAL na Makonda ni ndoto..Nadhani ni muda muafaka kwa Tundu lissu ,Makonda ,Mbatia na Wazalendo wengine kuanganisha nguvu 2025 kuchukua nchi
Hii ndoto ikiwa ya kweli Watanganyika tulio wengi tutaungana nao!!2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Kwa alili yako unaona kabisa hao watu watakaa sehemu moja? Seriously?2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Kwenye siasa hakuna Adui wa kudumu wala Rafiki wa kudumu!!Kuunganisha TAL na Makonda ni ndoto..
Ondoa hapo Makonda weka Mwabukusi
Una ushaidi?Are you serious? Yaani kweli Lissu aungane na mtu aliyesimamia zoezi la kumtoa roho?
Huko kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu , hafu kuna mambo yana hitaji ushahidiAre you serious? Yaani kweli Lissu aungane na mtu aliyesimamia zoezi la kumtoa roho?
HakikaHii ndoto ikiwa ya kweli Watanganyika tulio wengi tutaungana nao!!
Nakubaliana na wewe Kwa Sasa Goli lipo wazi kabisa
Ni yule asiye kula kwa urefu wa kamba yakeUzalendo ni nini?
Mzalendo ni mtu wa aina gani?
Nimekudharau sana kwa kumtaja Makonda kuwa ni mzalendo katika nchi hii.2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Akili za kindezi hiziSiasa ni mzaha wewe piga kelele tu! Humu ndani ila jua ccm Alfa na umega mwanzo na mwisho tanzania