Pre GE2025 Nadhani ni muda muafaka kwa Tundu Lissu, Makonda, Mbatia na Wazalendo wengine kuanganisha nguvu 2025 kuchukua nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .

CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .

CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
 
PnruDNTWABm8qRq7I5FRJ_wRlvKooRKy7wbqjrxJqUg.jpg

Furaha ya Fisi.
 
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .

CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .

CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Are you serious? Yaani kweli Lissu aungane na mtu aliyesimamia zoezi la kumtoa roho?
 
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .

CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .

CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Makonda tena?
Yaani Makonda ni mzalendo au mimi ndiye nisiyefahamu maana ya uzalendo?
 
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .

CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .

CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
wataunganaje ilihali hawajitambui? kila mtu ni kivyake vyake tu... wakijitambua wataufuata ushari wako.
 
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .

CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .

CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Hii ndoto ikiwa ya kweli Watanganyika tulio wengi tutaungana nao!!

Nakubaliana na wewe Kwa Sasa Goli lipo wazi kabisa
 
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .

CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .

CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Kwa alili yako unaona kabisa hao watu watakaa sehemu moja? Seriously?
 
Kuunganisha TAL na Makonda ni ndoto..
Ondoa hapo Makonda weka Mwabukusi
Kwenye siasa hakuna Adui wa kudumu wala Rafiki wa kudumu!!

Ushahidi huu hapa: Mbowe na Lissu hapikiki chungu kimoja... Je uliwahi kufikiri hivyo!!?

Mpina aliomba kuundwe Time huru ya Kuchunguza kifo Cha Magufuli - huu muujiza ukifanikiwa ndo utawajua marafiki walivyo Wabaya kuliko Maadui
 
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .

CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .

CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Nimekudharau sana kwa kumtaja Makonda kuwa ni mzalendo katika nchi hii.
 
Back
Top Bottom