PeterwaPerer
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 292
- 336
Wakuu mulewapanga!
Nilimsikiliza waziri wetu wa Wizara ya Habari Sanaa Michezo na Utamaduni, Mh Paul Christian Makonda akielezea kuhusu baadhi ya taarifa au habari kuwa ni za ukakasi kwa jamii lakini wana habari wamekuwa wakizipeleka kwenye jamii
Hivyo kuna haja sasa tuanze kudhibiti baadhi ya taarifa zisichaposhwe mitandaoni kama habari za ushoga, kufumaniana, umalaya, magomvi ya mitaani, majibishano yasiyo na maadili, vibao kata na habari zote zenye mlengo wa kumomonyoa maadili ya Mtanzania n.k
Nb. Picha chini haihusiani na maada