Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Waleeni mabinti zenu vizuri ili wawe wake bora baadaye, acheni kulaumu haitasaidia, jiulize wewe kama baba unashiriki vipi kuhakikisha binti yako ni wife material wa baadaye?
Ndugu mwandishi..
Unaweza ukalea weeee ila dunia ikakufanya VISIVYO.

Hivi unajua kuwa Amber Rutty baba ake ni ustadhi?
Hivi unajua watoto wa wachungaji Chuoni wanaliwa sanaa?

#YNWA
 
umeongea point sana mkuu lakini hata sasa waowaji wapo wachache pia vijana wengi wasasa hawataki kuoa
 
Ndugu mwandishi..
Unaweza ukalea weeee ila dunia ikakufanya VISIVYO.

Hivi unajua kuwa Amber Rutty baba ake ni ustadhi?
Hivi unajua watoto wa wachungaji Chuoni wanaliwa sanaa?

#YNWA
Tena baadhi ya wchngj ni hatariiii Sana Kama yule aliye kula demu wako
 
Wa mtaani kwako nini? Umetembea miji na vijiji vyote?
 
Tunaomba ufafanuzi zaidi Mkuu.... Hapo uliposema kuwa Ndoa pia ni chanzo Cha umasikini Tanzania.
 
Tunaomba ufafanuzi zaidi Mkuu.... Hapo uliposema kuwa Ndoa pia ni chanzo Cha umasikini Tanzania.
Wanawake wengi mnaomba sana hela kwenye mahusiano hadi kupelekea baadhi ya sisi wanaume kufilisika Msweet
 
Katika hili tunafanyeje sasa hali ndo kama ilivo!!
 
Mimi mhanga wa wanawake wa design hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…