Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Pia robo tatu ya wanaume wote tanzania hawafai kuoa maana wengi wamekuwa marioo, mara vibamia, nguvu za kiume hawana na umaskini juuu
 
Waoaji wapo shida kubwa wanawake wa sasa wameshindwa kujitambua kuwa uzuri huwa unamwisho wakishagonga age 30 bila ndoa ndio ufahamu unarudi
Tuwe tu wakweli ndugu zangu ,kuna mtu ametafuta mke akakosa kwa kigezo kuwa wote anaowaona hawamfai ?
 
Pia robo tatu ya wanaume wote tanzania hawafai kuoa maana wengi wamekuwa marioo,mara vibamia,nguvu za kiume hawana na umaskini juuu
Nature haijawahi kushindwa kubalance mambo [emoji28][emoji28] [emoji119]
 
Ila kwakweli kupata mke miaka hii ni kazi ngumu mno, japo wanawake ni wengi sana
 
😂😂😂😂 hapo ni aliomba Mungu, je wengine tunaoparamiana tu hali zikoje?
 
Nadhani ni zaidi ya nusu haswa hapa Dar, nadiriki kusema HAKUNA kabisa mwanamke wa kuoa au wa kuwa naye kwenye mahusiano tu. Waliobaki ni kuchapa na kuwakimbia wakiwa wamelala Guest, never invite them nyumbani kwako, utarogwa mwishowe ukajikuta unaoa zimwi.
 
Tunaomba ufafanuzi zaidi Mkuu.... Hapo uliposema kuwa Ndoa pia ni chanzo Cha umasikini Tanzania.
Ni chanzo ni kutokana na Sheria mbovu za ndoa, ktk jamii hasa Wanaume matatizo yanaanza akishaoa, Mwanamke anataka kumiliki kipato na shughuli za kila siku za Me, kitua ambacho hakiwezekani, na hapo ndio Ke anaanza kero ndani, hali hio inashusha morali na mbinu za Mwanaume kutafuta mali zaidi, kwani pesa ni matokeo ya Mtu anavyopanga akilini mwake, Ke Anafanya hujuma nyingi akitafuta huo umiliki, Na mwisho wanakua masikini au wanaachana, na muda mwingi umepotea bure. Hata Nchi Tajiri waligundua sheria za ndoa zinarudisha maendeleo ya Nchi zao nyuma ndio maana wakabadilisha.

Suluhisho: Ktk ndoa kila mtu amiliki mali zake, na ziandikishwe wakati wa kufunga ndoa, Talaka iwe inachukua muda mfupi kutolewa na itolewe kwa Mwanasheria na Serikali au kwa Mkuu wa wilaya, kama kuna ambaye hajarizika ndio iende mahakamani. hii itapunguza matatizo kwa 90%
 
Sasa mnatakaje? Wife matirio au chakaramu?
Awe kati kati ila heshima yake kwangu idumu. Hata Huyo mchepuko akikuuliza umekosa nini kwa mkeo uwe na sababu na sio kuanza kumsingizia sababu za uongo ambazo ukija kumuona mkeo unaanza kuona huruma kwa kitendo ulicho kifanya .

Yaani unachepuka ukikaa ukitulia na kujiuliza kwa nn nachepuka ....sababu iwe aaah tatizo Mke wangu ana gubu sana. Aaah tatizo Mke wangu ananibania sana kimbususu chake hivyo yaani.
 
Hamna jema kwa wanadamu...
 
Mh eti utafiti binafsi 😛😛 Skia brother, ukiona wanawake wote unaokutana nao sio wife material basi ni dhahiri kuwa hata wewe sio husband material teh. Wenzio ambao ni ma- husband ,material mbona wanakutana na ma wife material na wanafunga ndoa kila kukicha?
Jitathmini upyaaa🤣🤣
 
Shukuru sana sana ukimpata Mwanamke mwenye sifa nzuli na anaekupenda na kukuliwaza unapopatwa na mitihani mbalimbali inayokukabili, asiwe muhuni, dharau, kiburi, jeuri, kisilani n.k. hapa utakua umepata jembe kwelikweli. Na pia awe na huruma na msaada kwako.

Kwa wanaume omba sana upate mpole, asiwe muhuni n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…