Nadhani Simba wana mtu wao kule ndani CAF. Sielewi hizi takwimu, ina maana Eng. Hersi kashindwa kuipandisha Yanga?

Nadhani Simba wana mtu wao kule ndani CAF. Sielewi hizi takwimu, ina maana Eng. Hersi kashindwa kuipandisha Yanga?

Iyo ni CUF ya Lipumba, katika Criteria za klabu Bora za CAF hawaweki thamani za timu.
Wanacho angalia ni Five year club performance.
Sasa Unawaingiza chaka Mbumbumbu wenzako.
 
Baada ya kufyeka kichaka wao wakapupuu kumbe wameweka mbolea. Tukifika fainali CACC ndio itawachukua miaka5 kufyeka kichaka
 
Wadau nmeikuta tena hii sehemu. Ina maana Hersi anashindwa kupenetrate kule ndani kuipandisha Yanga? Yaani Simba wapo Shirikisho. Bado wanapigiwa promo na kukuzwa kila sehemu? Why? Kwa nini?

View attachment 3215643
Mimi nijuavyo wanaopandishwa ni wale ng'ombe wa kufugwa kwa ajili ya uzazi🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿😂
 
Baada ya kufyeka kichaka wao wakapupuu kumbe wameweka mbolea. Tukifika fainali CACC ndio itawachukua miaka5 kufyeka kichaka
Maana kichaka kitakua kimechanua vibaya mnoo...kwa mbolea waliyowekea..hahahah
 
Back
Top Bottom