Nadhani Simba wana mtu wao kule ndani CAF. Sielewi hizi takwimu, ina maana Eng. Hersi kashindwa kuipandisha Yanga?

Iyo ni CUF ya Lipumba, katika Criteria za klabu Bora za CAF hawaweki thamani za timu.
Wanacho angalia ni Five year club performance.
Sasa Unawaingiza chaka Mbumbumbu wenzako.
 
Baada ya kufyeka kichaka wao wakapupuu kumbe wameweka mbolea. Tukifika fainali CACC ndio itawachukua miaka5 kufyeka kichaka
 
Wadau nmeikuta tena hii sehemu. Ina maana Hersi anashindwa kupenetrate kule ndani kuipandisha Yanga? Yaani Simba wapo Shirikisho. Bado wanapigiwa promo na kukuzwa kila sehemu? Why? Kwa nini?

View attachment 3215643
Mimi nijuavyo wanaopandishwa ni wale ng'ombe wa kufugwa kwa ajili ya uzaziπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸ˜‚
 
Baada ya kufyeka kichaka wao wakapupuu kumbe wameweka mbolea. Tukifika fainali CACC ndio itawachukua miaka5 kufyeka kichaka
Maana kichaka kitakua kimechanua vibaya mnoo...kwa mbolea waliyowekea..hahahah
 
ngara23 na Auto-Marvelt njooni mtueleze. twende na ipi CAF au IFFHS?
🀣🀣 CAF wanaangalia mashindano mawili tu, CAF champions Leagu na CAF Confederation cup

IFFHS wanaangalia mashindano ya CAF na ligi za ndani, upande wa CAF simba ni baba yao ila ukijumlisha na ligi Yanga ni nyoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…