Nadhani sura halisi ya Luhaga Mpina mmeiona sasa. Alitaka sukari iadimike mtaani ili lawama ziende kwa rais na serikali yake

View attachment 3046872
Kwa wakati wako katafute ripoti zilizomo humo utaona mpaka mahela ya misaada lakini huduma tu muhimu kwa mbinde
Hiyo riport imeandaliwa siyo ya itwala wa samia. Ukiisoma kwa undani ni utawala wa jpm ndo uliosheheni ufisaidi wa public parastatals. Samia utawala wake uko clean kabisa. After all report siyo confirmatory bali ni queries.

Inawezekana we mwenyewe umehadithiwa kilichomo ndani. Hujachukua mda kusoma hzo queries zote.
 
Zilikuepo njia nyingi mbadala kuliko njia hiyo ya Uhuni/upigaji. Hukumbuki awamu ya 5 tulitumia njia gani?
Hayo sasa ndo wabaunge walipaswa kushauri lakini kama waziri asingepaswa kulala wakati huku mtaani watu wanalia hawana sukari. Bashe amewaonea huruma wanyonge kwa vitendo siyo kama.jpm kwa maneno meeeengi vitendo zero
 
Mpo wengi sana siku hizi basi ndugu tusigombane hapa kwa ajili ya wana siasa ila ipo siku yatakukuta tu utajionea pengine kuna kitu unafaidika nacho
 
Sawa Bashe
 
Wananchi wanasema sukari ya ndani imejaa store na kuna sukari kibao kutoka nje ndiyo inayouzika sokoni kwa sasa
Unatumia nini kusikiliza
 
Wananchi wanasema sukari ya ndani imejaa store na kuna sukari kibao kutoka nje ndiyo inayouzika sokoni kwa sasa
Unatumia nini kusikiliza
Wafanyabiashara waliificha kucreate scarcity sasa bashe akaona isiwe taabu akaagiza nje sasa wamechanganyikiwa ndo mana mpina anatumiwa na mama kamshtukia
 
Umetumwa
 
Kuna mtu kanieleza kwamba Mpina ana laana, kwamba aliwahi kumpiga mama yake mzazi akamuumiza mpaka akalazwa
Heri yeye kampiga tu!! Tunasikia wewe ulimuingilia wa kwako
 
Wafanyabiashara waliificha kucreate scarcity sasa bashe akaona isiwe taabu akaagiza nje sasa wamechanganyikiwa ndo mana mpina anatumiwa na mama kamshtukia
Mpina anatumiwa na nani
Au serikali ndiyo haina mipango
Kanuni za bunge zimemtaka mpina athibitishe uwongo wa waziri na kimbelembele cha spika kujifanya much know ndiyo kimefanya mambo yakae hadharani

Wanataka ugomvi na wanajua madhaifu yao wangeachana na mpina pale bungeni haya yote yasingetokea
Hakuna anayemtumia mpina
 
Mbona mpina sasa anenda kuninginizwa mahakani!!
 
Idiot !!! foolish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…