- Thread starter
- #21
Hiyo riport imeandaliwa siyo ya itwala wa samia. Ukiisoma kwa undani ni utawala wa jpm ndo uliosheheni ufisaidi wa public parastatals. Samia utawala wake uko clean kabisa. After all report siyo confirmatory bali ni queries.View attachment 3046872
Kwa wakati wako katafute ripoti zilizomo humo utaona mpaka mahela ya misaada lakini huduma tu muhimu kwa mbinde
Inawezekana we mwenyewe umehadithiwa kilichomo ndani. Hujachukua mda kusoma hzo queries zote.