Nadhani tulikosea kuwakabidhi Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la mauaji ya Hamza

Ndipo hapo Tume hiyo ilitakiwa kuchunguza, ni kwa nini kijana huyo Hamza, awa-target maaskari na kuwaacha raia wa kawaida bila kuwadhuru??

That is the main question, which needs to be answered
lengo lake ni kupata wafuasi ma inzi kama wewe.

waislam gani wameuliwa na polisi!!huko polisi kuna waislam wanaijua dini kuliko huyo gaidi.
 
Huyo anatofauti gani na wale wa kibiti? Wale nao si walikuwa wakiua askari peke yake. Video zinamuonesha akitamka maneno ya kujitoa kufa kwa ajili ya Mungu.

Tusilete mzaha na kuleta siasa kwenye mambo ya hatari kama hayo.
vijana wa ufipa wanachojua ni kushiba mihogo ya 500 na bando za mb 50 kuja kuandika upuuzi jf na twitter.
 
Kama POLISI Walikuwa WANATUHUMIWA na HAMZA Je ulitarajia POLISI waseme HAMZA ni RAIA MWEMA?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
kuna wapumbavu wanataka kulichukulia hili swala kama gear yao ya kisiasa.kwamba polisi waliuawa wakifanya dhulma.

huu upumbavu hauna mbolea,na unapokelewa na wajinga wajinga tu wanaoamini katika mambo yanayofanana na hayo kwamba hamza alikua na madini na hela.
 
cha kusahangaza Gaidi huyu Hayati Alhaji Hamza aliwapa CCM million 200 kwenye uchaguzi wa 2020.
 
Hao mapolisi wanakuaga mabingwa kubaini intelejensia Katika vikao vya Chadema pekee😁🤣
 
Tanzania nasemaga kila kukicha lazima tuwe na chombo huru cha kuchunguza taasisi kama polisi ect, nchi nyingi zinazo hata Kenya mfano mzuri ni kwa sababu ilifikia kipindi kama hichi hichi cha kesi za ngedere unampelekea nyani lazima aone wivu au kesi ya mbuzi unampelekea fisi lazima amle.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Lazima kutakuwa kulikuwepo biaseness ya kutosha kabisa.haiwezekani uniulie wanangu afu nifanye uchunguzi mwenyewe lazima nitamtumia jamaa tuhuma kuwa alikuwa ni gaidi ama ni tapeli
 
Ili kuondokana na makandokando na minong'ono hili jambo lilihitaji tume huru ya kiuchunguzi maana POL nao walikuwa wanatuhumiwa kwa namna moja ama nyingine.
 
Kupata silaha au maombi ya silaha kweli unafanyiwa uchunguzi na maswali kibao na baadae unapata au unakosa inategemea
Na wapo walionyimwa pia
Suala la kuja kubadilika baadae hayo ni mengine na polisi hawawezi kumtabiria mtu atakuwa wa aina gani baada ya kupata silaha

Hata wazungu mbali na inelijensia yao lakini kuna wakati mwingi wanafeli pia
Angalia tukio la juzi ambapo kijana msirilanka aliechoma watu visu na yeye kuuwawa na polisi wa NZ
Hao polisi walikuwa wanamjua vizuri lakini kavamia watu

Kuna watu wengi wanapewa silaha kwa masharti yote ila baadae unakuta anamtolea mtu na kumtishia na wengine road rage [emoji35] kidogo tu jamaa akatoa pistol na kuuwa
Haya yalitokea bongo mda umepita kidogo
 
mkorinto
Sasa mnashindwa nini kukubaliana na uundwaji wa Tume ya uchunguzi iliyo huru??
 
Ili kuondokana na makandokando na minong'ono hili jambo lilihitaji tume huru ya kiuchunguzi maana POL nao walikuwa wanatuhumiwa kwa namna moja ama nyingine.
Absolutely true👏👏
 
Labda walikuwa sahihi huwezi jua kwani hata sir baya general magirini sijamwelewa mpaka leo.
 
We lofa sana, umeambiwa alichukua SMG zao, sio yao, pili, kuna clip inatrend mtandaoni Hamza akiimba na kuisifia dola ya kiislam inaonekana ni ndani ya chumba chake na anaimba kwa harakaharaka na kuonyesha bastola yake yenye megazini ya akiba iliyojaa risasi, na wakati huo alipohisi mlango unagongwa haraka akaficha silaha na simu, hicho ni kiashiria kwamba alikuwa kwenye mtandao wa Radicalization ambao mtu anajifunza ujinga huo through mtandao bila hata kuihusisha wala familia yake kujua. Ni mambo yanayoendelea sana kwa sasa kwa baadhi ya vijana, sasa sio ulete vimaswali vyako vya kipuuzi, eti kwa nini alianza na askari, kwa taarifa yako wale magaidi adui wao wa kwanza ni askari, wakishamaliza askari ndio wanakuja nyumbani kwako kukusilimisha sasa na kuamriwa ujiunge, sasa we kataa utawauliza wa Msumbiji, mwanzo walifurahi askari kuuawa wakadhani wanaokuja ni wakombozi wao kumbe ndio waliposhuhudia jinsi utumbo wa binadamu unavyokaa tumboni akiwa hai, acha kabisa habari za siasa kwenye mambo haya usioyajua we dogo.
 
Ndipo hapo Tume hiyo ilitakiwa kuchunguza, ni kwa nini kijana huyo Hamza, awa-target maaskari na kuwaacha raia wa kawaida bila kuwadhuru??

That is the main question, which needs to be answered
We vipi, si umeshaambiwa anatetea uislam!!
 
Hli swala limekwisha. Limekwisha Hamza alipoanguka kwenye lami. Kwa Balozi wa Ufaransa ni jambo kubwa,kwa sababu limetokea ofisini kwake,na hata akisema siyo ugaidi,jambo hilo sio ambalo linaweza kuamuliwa katika kipindi cha saa 48. Kwa hiyo ameamua kurudi nyumbani.
Yule Hamza alikuwa ni gaidi. Inatisha. But let us not bury our head in the sand like an ostrich and deny this reality.
Ukiwa mtu wa heshima, people will not play these games with you.
Ni kama chanjo ya Corona. If people disrespect you,you can be sure watakuletea chanjo yenye madhara. Tatizo siyo chanjo. Tatizo ni wewe. You must be able to command the respect of other people.
Mtu kawashambulia polisi,unataka uchu guzi ufanywe na mtu mwingine. For what reason. Polisi wamesema hawataki kuambiwa Hamza alikuwa na mgodi was dhahabu, especially kama polisi waliouawa hawakuonekana kama walikuwa wanaishi maisha ya kifahari bàada ya kumwibia mtu dhahabu. Sasa makelele yote ya nini.
Tatizo lililotokea ni dogo. Kila anasema tuwatazame Taliban. Wamerithi silaha nyingi. Kila mtu amataka kuona watafanya nazo mini.
 
Awe gaidi asiwe gaidi, tukio lililotokea ni dalili mbaya kwa taifa hili na linahitaji tuwe wamoja zaodi ya kugawanyika kwa mitazamo inayokinzana. Kuna sababu yoyote ya mtu ku-feel sympathy kwa mtu aliyeamua kufa kwa kuondoa roho za watu wengine wasio na hatia mbele ya macho ya sheria?

kuua watu kwa makusudi, tena kwa silaha kama vile kwa namna ya kujitoa mhanga huo ni ugaidi. Not sure kwanini kuna kubishana kuhusu hilo?
Suala kuwa alikuwa selective kuacha raia na kuua askari haimaanishi hakua gaidi. Hebu chukulia mfano askari wangekuwa 50 na akawavamia na kuwaua wote, sababu ni askari na sio raia inakuwa sio ugaidi? Hebu tuwe serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…