third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 918
- 2,160
Habari njema sana kwa wana JF wote.
Mimi sio muandishi mzuri sana wa nyuzi ndeefu sana, hii nikwasababu nilipokua mdogo sana niliambiwa muda ni mali sana.. nasasa nilipo kua mkubwa nimebaini muda hautoshi kabisa.
Twende kwenye maada hapo chini.
HIVI hawa vijana wanaokuja namaada kwamba..
Mimebanwa na zibu naombeni ushauli.
Mkewangu leo kaondoka na funguo ya chumba naombeni ushauli wenu wana JF.
Mmoja anasema ugali nimatofali tena kwamatusi yakila aina,na akamaliza kwakusema toka aache kula ugali amekua na ufahamu.
Hizo nimoja ya mada chache sana katika orodha yamada nyingi za ajabu sana.
Hapo achilia mbali mada zawatu kama poor brain, mwashambwa, na jamaa flani wale ambao wao niwatu wazima ila wanaandika upuuzi wakiwango cha AIBU.
BAKI KWENYE MAADA PALE JUU.
Hivi hao vijana wanao kuja namaada za namna hiyo niwatu wenye umri angalau kuanzia 33 kwenda juu, wanamke nawatoto kabisa kiasi kwamba wao nibaba wafamilia na wanategemewa kwenye ukoo.