Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Unapokea dege la.bil 800+ alafu unachukua ujumbe wa watu 100 na zaidi kwenda nao Qatar na India kwa sababu gani za msingi?
Kuangalia namna green house zinazalisha mbogamboga ? Huko India kuna nini kipya mpaka ubebe watu mia mbilli na ushee kwenye ziara kama hii?
Huko India hakuna balozi ambaye angeweza kufacilitate haya? Dunia ya leo ni ya kidigital. Hakuna namna ya wafanyabiashara kuunganishwa kidijitali? Na kuweza kufanya biashara.
Mbona hali ya maisha ya Watanzania at grassroot ni mbaya sana. Maji ni shida, umeme shida, dawa shida. Kwa nini.mtumie pesa nyingi kwa ziara ambazo dunia ya leo hazifanyiki sana. Labda kama kuna ulazima!.
Hizo pesa zilizotumika kwa ziara ya Qatar India zilitosha kukamilisha mradi wa maji wa bil 6 ambao ungesaidia mamilioni ya Watanzania.