Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
CCM ndio laanaUafrika hasa utanzania ni laana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ndio laanaUafrika hasa utanzania ni laana
Ukatae CCM halafu uichague CHADEMA ya Mbowe?!!!! [emoji44]Nashauri kuanzia 2024 January tuingia mtaani kuhamasisha vijana wapige kura na kuikataa CCM mazima tuachane na social media
Mkuu tatizo ni kwamba watanzania million 61 hawachukui hatua yeyote ya kuwa wajibisha hizo familia chache.Laana imeletwa na familia chache ambazo zinafaidi zenyewe tu.
Hata mumeo haitaki CCMUkatae CCM halafu uichague CHADEMA ya Mbowe?!!!! [emoji44]
Wewe ni chi....zzzy?!![emoji1787]
Tuamke mkuu twendeni chini kule kwenye grassrootMkuu tatizo ni kwamba watanzania million 61 hawachukui hatua yeyote ya kuwa wajibisha hizo familia chache.
Ndio maana nakwambia ni kama laana hivi, watu million 61 wanateswa na familia chache tu.
Ukijaribu kuamka, utajikuta umesalitiwa na kuachwa ufe kivyako.Tuamke mkuu twendeni chini kule kwenye grassroot
ukipata sehemu kula ni walewale tuMimi nitoe kwenye hiyo list yenu.Hii basi tu.
Adui mkubwa tulienae nyakati hizi ndani ya nchi yetu ni CCM.Nashauri kuanzia 2024 January tuingia mtaani kuhamasisha vijana wapige kura na kuikataa CCM mazima tuachane na social media
Mke mwenza umechanginyikiwa?!!Hata mumeo haitaki CCM
si kweli kwamba hali ya maisha ya watanzani ni mbaya.Unapokea dege la.bil 800+ alafu unachukua ujumbe wa watu 100 na zaidi kwenda nao Qatar na India kwa sababu gani za msingi?
Kuangalia namna green house zinazalisha mbogamboga ? Huko India kuna nini kipya mpaka ubebe watu mia mbilli na ushee kwenye ziara kama hii?
Huko India hakuna balozi ambaye angeweza kufacilitate haya? Dunia ya leo ni ya kidigital. Hakuna namna ya wafanyabiashara kuunganishwa kidijitali? Na kuweza kufanya biashara.
Mbona hali ya maisha ya Watanzania at grassroot ni mbaya sana. Maji ni shida, umeme shida, dawa shida. Kwa nini.mtumie pesa nyingi kwa ziara ambazo dunia ya leo hazifanyiki sana. Labda kama kuna ulazima!.
Hizo pesa zilizotumika kwa ziara ya Qatar India zilitosha kukamilisha mradi wa maji wa bil 6 ambao ungesaidia mamilioni ya Watanzania.
View attachment 2779432
Laana iliwekwa kama kafara la Uhuru thus kuendekelea ni ndotoMkuu tatizo ni kwamba watanzania million 61 hawachukui hatua yeyote ya kuwa wajibisha hizo familia chache.
Ndio maana nakwambia ni kama laana hivi, watu million 61 wanateswa na familia chache tu.
[emoji2956][emoji2956]si kweli kwamba hali ya maisha ya watanzani ni mbaya.
nachelea kudhani hali yako binafsi yaweza kua mbaya,
hiyo ni sawa, na naushauri ujipange na kurekebisha, inawezekana kabisa kutoka kweye hali hiyo.
unasema, umeme ni shiida, maji ni shida, dawa ni shida nakadhalika nakadhalika.
ukweli ni kwamba huduma zote hizo zipo katika ukamilifu wake,
ispokua wewe ndie huridhishwi na kiasi au kiwango cha upatikanaji wa huduma zenyewe.
ni vigumu kumridhisha kila mtu,
changamoto, uchache, kutojitosheleza kwa huduma hizo, kasoro, upungufu na udhaifu ni vitu ambavyo serikali kutwa kucha wanavifanyia kazi na kuendelea kuviimarisha ili hatimae viweze kukidhi mahitaji ya watanzania wote.
Ziara hizi za Rais,
Ni muhimu sana na kwakweli zitachochea ukuaji wa kisekta kwa namna mbalimbali.
Mawaziri wa kisekta wanakwenda kuchota uzoefu, technolojia, mipango na mbinu mablimbali wanazotumia wenzetu katika kuimarisha na kutooa huduma muhimu kwa watu wao.
kupanga ni kuchagua....
Hii Phd inafaida gani kwa Watanganyika?Unapokea dege la.bil 800+ alafu unachukua ujumbe wa watu 100 na zaidi kwenda nao Qatar na India kwa sababu gani za msingi?
Kuangalia namna green house zinazalisha mbogamboga ? Huko India kuna nini kipya mpaka ubebe watu mia mbilli na ushee kwenye ziara kama hii?
Huko India hakuna balozi ambaye angeweza kufacilitate haya? Dunia ya leo ni ya kidigital. Hakuna namna ya wafanyabiashara kuunganishwa kidijitali? Na kuweza kufanya biashara.
Mbona hali ya maisha ya Watanzania at grassroot ni mbaya sana. Maji ni shida, umeme shida, dawa shida. Kwa nini.mtumie pesa nyingi kwa ziara ambazo dunia ya leo hazifanyiki sana. Labda kama kuna ulazima!.
Hizo pesa zilizotumika kwa ziara ya Qatar India zilitosha kukamilisha mradi wa maji wa bil 6 ambao ungesaidia mamilioni ya Watanzania.
View attachment 2779432
Rais wa India akaongee na balozi wa Tanzania na kumpa ukaribisho mkuu na kuingia naye MIKATABA YA KIUCHUMI?!
Wewe umeona wapi ? !! [emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
Kwani Samia anaijua hii nchi vizuri?ukionana nae mwambie akutajie vijiji 20 tu vya Tanganyika anavyovifahamu!Unapokea dege la.bil 800+ alafu unachukua ujumbe wa watu 100 na zaidi kwenda nao Qatar na India kwa sababu gani za msingi?
Kuangalia namna green house zinazalisha mbogamboga ? Huko India kuna nini kipya mpaka ubebe watu mia mbilli na ushee kwenye ziara kama hii?
Huko India hakuna balozi ambaye angeweza kufacilitate haya? Dunia ya leo ni ya kidigital. Hakuna namna ya wafanyabiashara kuunganishwa kidijitali? Na kuweza kufanya biashara.
Mbona hali ya maisha ya Watanzania at grassroot ni mbaya sana. Maji ni shida, umeme shida, dawa shida. Kwa nini.mtumie pesa nyingi kwa ziara ambazo dunia ya leo hazifanyiki sana. Labda kama kuna ulazima!.
Hizo pesa zilizotumika kwa ziara ya Qatar India zilitosha kukamilisha mradi wa maji wa bil 6 ambao ungesaidia mamilioni ya Watanzania.
View attachment 2779432
Acha ubwege,mbona Mbarawa alipewa Power of Attorney na Rais ku-facilitate dili fake la Bandari na Dubai!Rais wa India akaongee na balozi wa Tanzania na kumpa ukaribisho mkuu na kuingia naye MIKATABA YA KIUCHUMI?!
Wewe umeona wapi ? !! [emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
Mwalimu Nyerere ambaye ni Muhasisi wa Chama cha Majangili alishawai kusema CCM siyo Mama yake,sasa uyo chawa yeye ni nani!!Hata mumeo haitaki CCM