Nadharia na maneno toka Serikalini vimekuwa vingi kuliko wanavyohitaji Watanzania kwenye grassroot

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Unapokea dege la.bil 800+ alafu unachukua ujumbe wa watu 100 na zaidi kwenda nao Qatar na India kwa sababu gani za msingi?

Kuangalia namna green house zinazalisha mbogamboga ? Huko India kuna nini kipya mpaka ubebe watu mia mbilli na ushee kwenye ziara kama hii?

Huko India hakuna balozi ambaye angeweza kufacilitate haya? Dunia ya leo ni ya kidigital. Hakuna namna ya wafanyabiashara kuunganishwa kidijitali? Na kuweza kufanya biashara.

Mbona hali ya maisha ya Watanzania at grassroot ni mbaya sana. Maji ni shida, umeme shida, dawa shida. Kwa nini.mtumie pesa nyingi kwa ziara ambazo dunia ya leo hazifanyiki sana. Labda kama kuna ulazima!.

Hizo pesa zilizotumika kwa ziara ya Qatar India zilitosha kukamilisha mradi wa maji wa bil 6 ambao ungesaidia mamilioni ya Watanzania.

 
Hatujifunzi
Kunatofauti kubwa wakati wa utawala wa Jk alipotumia mbinu hii ya kubeba makundi na alipoingia JPM alipoachana na utaratibu wa mtangulizi wake!!

Sasa Naona anguko linakuja Kwa Kasi kubwa

Unakaa Buguruni unaenda kuomba chumvi Masaki unapanda daladala kwenda na kurudi unalipa zaidi ya buku Eti unajiona mjanja!!

Kweli hii ndiyo nchi aliyo iasisi Nyerere!!!

Akili za kufikiri zimekiwa nzito Sana haswa Viongozi wanapo waza chaguzi chaguzi tu!!

Kiongozi anadiriki kumsema nimemteua Fulani ili uchagizi uwe laini sio sahihi kabisa!!!!

Hizo pesa za kwenda kuomba chumvi ninyingi mno!!!
Kutokana na umasikini wetu kama kweli ni kuomba chumvi Masaki mwombaji angekatisha Kwa miguu Kupitia Magomeni Ile nauli ingeongeza Kuni za kupikia
 
Tatizo liko kwa washika Remote wanaompangia safari zisizo na tija ili tu asikae ofisini kukagua Mafaili.
Yeye mwenyewe anapenda kusafiri maana anajua hana kazi wala maamuzi
 
Mlishaambiwa adui wa Watanzania ni CCM, lakini hukuelewa!!
 
Serikali ya CCM wanaitafuna hii nchi kama mchwa wanavyo tafuna papi za mlango.
 
Rais wa India akaongee na balozi wa Tanzania na kumpa ukaribisho mkuu na kuingia naye MIKATABA YA KIUCHUMI?!

Wewe umeona wapi ? !! [emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…