Nadharia na maneno toka Serikalini vimekuwa vingi kuliko wanavyohitaji Watanzania kwenye grassroot

Nashauri kuanzia 2024 January tuingia mtaani kuhamasisha vijana wapige kura na kuikataa CCM mazima tuachane na social media
Adui mkubwa tulienae nyakati hizi ndani ya nchi yetu ni CCM.

Ccm ni baba wa ufisadi na rushwa za kila namna
Ccm ni mlezi wa ujinga maradhi na umaskini ndani ya nchi hii.

Ccm imesababisha vijana wanamaliza vyuo vikuu na kurudi mtaani kuendesha bodaboda na hawa ndio watakuwa bomu la kuwaondoa madarakani.
Na tuendelee kuwakumbusha ndugu jamaa na marafiki matatizo tuliyonayo mengi chanzo chake ni CCM.
 
[emoji1787][emoji1787]
Unaongelea kuukamilisha mradi wa maji wa bilioni 6 na wakati ziara hizi 2 zinakwenda kutuletea :

✓Viwanda vya chanjo dhidi ya magonjwa ya binaadamu na mifugo.

✓Ile miradi ya maji miji 28

✓Kusomesha wataalamu wetu kilimo cha kisasa haswaa maswala mapya na mtambuka ya kuandaa mbegu vyema

Acha mawazo ya kijima
 
si kweli kwamba hali ya maisha ya watanzani ni mbaya.

nachelea kudhani hali yako binafsi yaweza kua mbaya,
hiyo ni sawa, na naushauri ujipange na kurekebisha, inawezekana kabisa kutoka kweye hali hiyo.

unasema, umeme ni shiida, maji ni shida, dawa ni shida nakadhalika nakadhalika.
ukweli ni kwamba huduma zote hizo zipo katika ukamilifu wake,
ispokua wewe ndie huridhishwi na kiasi au kiwango cha upatikanaji wa huduma zenyewe.

ni vigumu kumridhisha kila mtu,
changamoto, uchache, kutojitosheleza kwa huduma hizo, kasoro, upungufu na udhaifu ni vitu ambavyo serikali kutwa kucha wanavifanyia kazi na kuendelea kuviimarisha ili hatimae viweze kukidhi mahitaji ya watanzania wote.

Ziara hizi za Rais,
Ni muhimu sana na kwakweli zitachochea ukuaji wa kisekta kwa namna mbalimbali.
Mawaziri wa kisekta wanakwenda kuchota uzoefu, technolojia, mipango na mbinu mablimbali wanazotumia wenzetu katika kuimarisha na kutooa huduma muhimu kwa watu wao.

kupanga ni kuchagua....
 
Mkuu tatizo ni kwamba watanzania million 61 hawachukui hatua yeyote ya kuwa wajibisha hizo familia chache.

Ndio maana nakwambia ni kama laana hivi, watu million 61 wanateswa na familia chache tu.
Laana iliwekwa kama kafara la Uhuru thus kuendekelea ni ndoto
 
[emoji2956][emoji2956]
 
Hii Phd inafaida gani kwa Watanganyika?
 

Attachments

  • C488E9D2-8885-44D3-8172-2676DAA7837A.jpeg
    67.5 KB · Views: 1
Kwani Samia anaijua hii nchi vizuri?ukionana nae mwambie akutajie vijiji 20 tu vya Tanganyika anavyovifahamu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa India akaongee na balozi wa Tanzania na kumpa ukaribisho mkuu na kuingia naye MIKATABA YA KIUCHUMI?!

Wewe umeona wapi ? !! [emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
Acha ubwege,mbona Mbarawa alipewa Power of Attorney na Rais ku-facilitate dili fake la Bandari na Dubai!
Kwanini ishindikane kwa Balozi?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…