Nadharia na maneno toka Serikalini vimekuwa vingi kuliko wanavyohitaji Watanzania kwenye grassroot

Upo sahihi Hali ya maisha ya Watanzania ni nzuri sana kama raia wa nchi za Scandinavia kule Ulaya!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Kwa akili Yako Balozi anaweza facilitate mambo Kama haya?

View: https://www.instagram.com/p/CySdNOctwSj/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Pesa wanazoenda Kuzalisha ni nyingi kuliko walizotumia

Mwisho hakuna dege la bil.800 huo ni uzushi wa wajinga.
 
Hii serikali haina tofauti na bongo movie jinsi mambo yao yalivyo pamoja na fikra zao.
 
Rais Samia anachezea kodi za wananchi bila hata chembe ya huruma.
 
Taifa letu lime jaa wajinga wengi sana,ni nyakati ya kukikataa chama Cha mboga mboga na matenndo yake yote,mchana kweupe.

Nasikia mtu yule kidato Cha Nne alipata Zero.
Alishindwa kupata hata D2 halafu leo ametunikiwa PHD 2 ,ujenga sana kwa nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…