Nadharia Tete: Bila Ujumbe NEC, Urais Haiwezekani

Kwa jinsi mwenendo wa uchaguzi wa ndani wa CCM, hasa ngazi ya NEC ulivyoendelea, ni dhahiri kwamba nadharia tete ya kwanza na ya pili kwenye bandiko langu namba moja la uzi zina mashiko; Cha msingi hapa ni kwamba ili uwe na nafasi nzuri ya kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM kwa mwaka 2015, ni lazima upate ujumbe wa NEC katika uchaguzi wa mwaka huu; Na hili litazidi kujidhihirisha ndani ya siku chache zijazo ambapo uchaguzi huu utafikia mwisho; Jina muhimu la kulifuatilia katika uchaguzi huu katika nafasi zile za kifo ni pamoja na la Bernard Membe, huku Sumaye akifikia kikomo na nia yake ya kubeba bendera ya ccm 2015; Sumaye hatoweza kupitishwa kutokana na kukosa sifa hizi i.e. ujumbe wa NEC, sifa ambayo ingawa ni unwritten (kikatiba), ni kigezo ambacho kimekuwa practiced kwa kipindi chote, hasa katika kutafuta mgombea wa CCM; Kwa maana nyingine, ni utamaduni wa CCM kuteuwa mgombea Urais miongoni mwa wajumbe wa NEC, na sio vinginevyo;

Nadharia tete namba tatu kwenye bandiko langu imekosa mashiko kutokana na CCM kusailiti azimio lake lenyewe, kupitia mabadiliko yaliyotarajiwa kikatiba ambapo lengo kuu ilikuwa ni pamoja na kupunguza mrundikano wa vyeo kwa viongozi wa CCM; NEC iliazimia kwamba inatakiwa viongozi wachague aidha kuwa wabunge au wajumbe wa NEC, ili wanachama wengine mbalimbali wa CCM nao wapate nafasi za uongozi wa chama; Badala yake, matokeo yamekuwa ke sio tu kwamba NEC mpya imejaa wabunge, bali pia uongozi wa CCM mikoani una wabunge wengi; Hii ni moja ya weaknesses za CCM ambapo huwa inakuja na maazimio mengi lakini utekelezaji wa maazimio yake huwa unaishia kuwa vituko;

Nadharia tete namba nne kwenye bandiko langu namba moja la uzi huu imepungua ukali kutokana na assumptions za nadharia tete namba tatu kutotimizwa i.e. mabadiliko ya katiba ya CCM na implications zake katika chaguzi za NEC; Mabadiliko ya Katiba hayajasaidia kupunguza mrundikano wa vyeo kwa viongozi wa CCM, sana sana imeongeza mrundikano huo; Vile vile, iwapo nia ya mabadiliko hayo ilikuwa ni kuhakikisha majina fulani fulani hayapiti NEC, juhudi hizo zimegonga mwamba;

Kutokana na matokeo ya uchaguzi huu wa ndani wa CCM, ni vigumu kwa Chama kuja na jina geni kama mgombea wa chama kwa tiketi ya CCM 2015; Atakayeteuliwa atakuwa miongoni mwa majina ambayo tayari yanasikika kwenye umma, na ukweli sasa unabakia wkamba jina lolote likiteuliwa, litapita tu uchaguzi mkuu 2015 hasa kutokana na ukweli kwamba Chadema wameshindwa kuifanyia kazi kanuni ya ushindi yani mshindi ni mshindi, kwani mgombea hata akiwa Sophia Simba kwa mfano tu, hawezi kukosa kura halali 50.01% ya kura zote;

Kwa mfano, uchaguzi wa 2015 iwapo matokeo ngazi ya Urais yatakuwa ni CCM 50.01%, Chadema 49.99%, mshindi ni CCM, kwa kura halai, na mchana kweupe, bila ya kujali CCM inamsimamisha nani; Ushindi wa Chadema sana sana itakuwa ni kualikwa kuunda GNU, suala ambalo litaimaliza Chadema kisiasa kwa sababu ambazo tayari zinaeleweka; Kitendo cha Chadema kukubali au kukataa GNU itakuwa ni mwanzo wa safari ya kifo kwa Chadema, na njia pekee ya kuepuak kifo hicho ni kuhakikisha wanashinikiza mabadiliko ya kanuni ya mshindi ni mshindi haraka iwezekanavyo;
 
Mchambuzi nakubalina na wewe kuwa nadharia tete sasa inaonekana kuwa tete kweli kweli. Lakini tuendelee kusoma alama, tuombe Mungu CCM wachapane kidogo, halafu wengine wakimbilie upinzani, au waistrengthen CHADEMA kama mmoja wao alivyotishia, that will be very good. Inawezekana kuna hali ambayo hatujawahi kuiona katika siasa zetu ikatokea kabla ya 2015, na kubadilisha hali ya mambo na watu tukashangaa.

Chadema kwa sasa hawana uwezo wa kubadilisha sheria ya winner take all, lakini itakuwa vizuri sana kwa Chadema kama wakishinda kwa mazingira hayo hayo, kwani inaweza kuwa mwanzo wa kufumua system mbaya ya CCM ya politics kutawala kila kitu. [This probably wishful thinking, but........technically there is a possibility]

Kwa tunakoelekea, hata kwa mazingira ya sasa, haswa kutokana na kuwepo kwa uwezekano wa CCM pia kushindwa, scenario kama ya Zanzibar ya kuwepo kwa GNU ipo, i would not be supprised kama tutakuwa na mabadiliko ya katiba ili ku-justfy kuendelea kwa CCM kushika hatamu na CDM kuwekwa kwapani kama CCM ilivyoifanya CUF Zanzibar.

The fact kuwa mfumo uliopo wa NEC kutoa rais wa Tanzania ni ukweli mchungu ambao ni lazima tuukubali, kama ulivyosema yoyote hata fisadi, mbumbumbu as long as ni CCM atachaguliwa.
 
Bongolander,

Binafsi naona dalili kubwa sana ya Government of National Unity bara baina ya Chadema na CCM 2015, suala ambalo ni mwiba mkali kwa chadema either way, wakikubali, wakikataa, hasa kutokana na ukweli kwamba tayari Chadema ina msimamo mkali dhidi ya ndoa ya CCM na CUF ZnZ; Kukubali GNU itakuwa ni kula matapishi yake, kukataa itakuwa ni kufungulia mlango wa propaganda kwamba Chadema kinakataa kuwakilisha ridhaa lets say ya nusu ya wapiga kura watanzania, hivyo ni chama chenye nia ya kuleta fujo; Unless Chadema wanakataa GNU katika mazingira ya Ku-concede kwa nia ya kujipanga tena for 2020;
 
Mkuu hapana inabidi tusubiri 2014 kutakuwa na mabadiliko makubwa sana, kwa maoni yangu sidhani kama CHADEMA watakataa hilo. Hata CCM yenyewe (bara) ikikubali GNU ni kula matapishi yake kwa kuwa siku zote inaona kuwa ina divine right ya kutawala, hata yenyewe itakuwa inajichimbia mazingira ya kujizika kwa kuwa kwenye GNU, Chadema wakicheza karata vizuri na GNU, wata take off vizuri sana, hasa wakideal na issue ya nani ana-control security establishment au at least na baadhi ya idara zake. KWa CCM nayo kukubali GNU itakuwa ni tantamount to suicide mission.

Kwenye siasa si jambo geni kula matapishi, for sure 2014 tutaanza kuwa na picha nzuri ya nini kitatokea 2015.
 
Lakini Chadema watakubali vipi GNU pamoja na consequences zake in the legislature bila ya ku deal na the fact kwamba hilo hawakuona ni sahihi baina ya CCM na CUF?
 
Back
Top Bottom