Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Mkuu naomba utofautishe matakwa ya katiba yaliyopo katika vyama tofauti vya siasa. Kila chama kina mila na desturi zake katika uendeshaji wake ili likapate kufikia malengo yake yaliyowekwa na itikadi kinayoisimami.
Huwezi kufananisha uendeshaji wa masuala ya kichama yaliyopo ndani ya vyama kwa kuingalia CCM kama role model katika mazingira ya kisiasa yaliyopo hivi sasa. TANU yenyewe katika uchanga wake kiliongozwa na Mwl. Nyerere kwa muda mrefu tu.
Kwa hiyo basi vyama hivi vilivyoanzishwa miaka ya 1990's bado vinahitaji "nurturing" kupitia viongozi wazoefu kutokana na changamoto zilizopo. Kwa hiyo basi bado CHADEMA inamuhitaji Mh. Mbowe katika nafasi hiyo ili kisiweze kuwa "derailed" na rafu za kisiasa zilizopo hivi sasa.
Ni yale yale!Mbona haujiulizi kuhusu lipumba na hashimu rungwe
Kwa miaka mi5.bado unawashwa au ushakunwa.?Safi kabisa na nilitegemea jibu kama hili.
Sasa zidumu fikra za Mwenyekiti Mbowe kwa miaka mingapi mingine?
CHADEMA ingeiga hata 10% ya utaratibu wa ukomo wa uongozi katika CCM, wangekuwa mbali.Kuna katiba ya chama cha siasa na kuna katiba ya nchi.
Kufuata katiba ya chama cha siasa ni hiari kwa maana ni hiari ya mtu kujiunga nacho.
Kufuata katiba ya nchi ni lazima si hiari ya mtu.
Ukiiona tofauti, utajua maana. Je katiba ya CCM ina ukomo kwenye nafasi ya Mwenyekiti?
Marupu rupu ya Usultani yatawavutia wengi ili na wao wayapate.Mbowe ndie ameshindwa kusoma alama za nyakati. Anafikiri ataendelea kupendwa tu muda wote. Yeye na wafuasi wake wanapumbazana. Wamesahau kilichowatokea viongozi mbalimbali waliokuwa wanadhani wanapendwa mwishowe wakaondolewa kwa aibu. Wadadisi tunaendelea kutahadharisha.
Nakuunga mkono, LAKINI kwa dhamira kuu ya Magufuli kuua upinzani,hotuba yake ya 2.5/2016 ??? ngoja top management ibaki! Naomba Mboqe abaki. Maana it is true kuwa Jiwe yuko bussy kuweka mamluki. Kuna watu wanaaminika, wako tayari kufa kwa ajili ya CDM, hao acha wabaki. Vinginevyo nakubalian na wewe Mbowe ilibidi aondoke apishe wenginwe. Ingelikuwa wakati wa Kiwete, Mbowe ilibidi aondoke. Unalisemeaje hilo?Kama CHADEMA hawawezi ndani ya chama chao kurekebisha katiba kuweka ukomo wa uenyekiti, mtu anajiuliza kwa Taifa je? Si ni yale yale?
Mkuu hayo yalisemwa sana hata wakati wa Awamu ya Nne.Nakuunga mkono, LAKINI kwa dhamira kuu ya Magufuli kuua upinzani,hotuba yake ya 2.5/2016 ??? ngoja top management ibaki! Naomba Mboqe abaki. Maana it is true kuwa Jiwe yuko bussy kuweka mamluki. Kuna watu wanaaminika, wako tayari kufa kwa ajili ya CDM, hao acha wabaki. Vinginevyo nakubalian na wewe Mbowe ilibidi aondoke apishe wenginwe. Ingelikuwa wakati wa Kiwete, Mbowe ilibidi aondoke. Unalisemeaje hilo?
Yote uliyoandika ni sawa kabisa! Awamu ya nne, Kikwete hakuapa, haadharani au kuonyesha dhamira ya kuua upinzani. Kweli muda ule ilibidi Mbowe aondoke. Lakini kwa sasa ndani ya magufuli, hapana! hapana!Mkuu hayo yalisemwa sana hata wakati wa Awamu ya Nne.
Principle no 1: Kiongozi akibaki madarakani muda mrefu, hakuna ubunifu wowote kiuongozi.
Priple no 2: kioghozi huyo anarudi na watu wale wale
Principle no 3: Its business as usual.
Kwa hiyi mtaalam.Jidu La Mabambasi, Nadhani wewe wewe ni mweupe kuhusu demokrasia....
Democracy is all about makubaliano ya watu wengi...
Dictatorship is all about matakwa ya mtu mmoja....
Kwa hiyi mtaalam.
Sisi CCM tukikubaliana JPM akae madarakani na afanye vitu vyake vya maendeleo chanya kama tunavyoona , si itakuwa demokrasia vile vile?